Mimi simsahau katika Dua zangu za kila siku.
Tuungane katika kumuombea mzee wetu maana rafu/fitna dhidi yake/yetu zinazidi.
Lakini hakuna amshindaye Mungu,nina hakika hatoyatupa maombi yetu,kwa uwezo wake tutashinda.
Asante sana mkuu kwa kumpasha ukweli kwa 100%
Mungu yuko upande wa UKAWA atatushindia.AMEN.
Yani fisadi tumuombee awe kiongozi thubutu!
Mungu hana upendeleo, naamini maamuzi alishayafanya!! Kama tunavyoamini parapanda italia siku ya mwisho. Tusubiri matokeo baada ya kura na ibada. Amini yoyote anaweza kuwa Rais kati ya Lowassa au Magufuri.
Ee mwenyezi Mungu,
kwa unyekevu mkubwa ,
tunakuja mbelezako,
tunakuomba sisi wa tanzani ,kwamapenzi yako ,tuonyeshe kiongozi mwadilifu na mwaminifu mwenye mapenzi ya dhati kwa watanzani,mwenye nia yadhati ya kuwatumikia wa tanzania. AMINA
kwan aliekuambia maguful sio fisad ni nan? Tatizo lako cjui upo kijijin sana kiasikwamba hata redio hua zinashika usiku tu lakin ngoja nikumbie maguful huyo amenunua meli chakavu kwa mabilion ya shiling na ameuza nyumba zote za watumish wa uma na amelipa makandarasi fek weng tu na amevunja nyumba za watu weng lakin fidia aliyowapa haitosh hata kununua kiwanja
Kila nafsi inatakiwa iombewe isipotee. Ndio ubinadam.
Tuwaombee wote
Mimi ila naogopa atakachokifanya kwa nchi hii ikatokea Bahati mbaya akashinda uchaguz
Na kwa kuwa mustakabali wa nchi Hii ni muhimu kuliko maisha ya mtu mmoja Mungu amfutilie mbali yeyote yule ambaye hayuko kwa manufaa ya nchi hii. Hata leo na amchukue