Enyi wafuasi wa shetani, acheni kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama fisadi Lowassa ni mpango wa Mungu, basi hamna haja ya kufunga na kuomba, atatimiza. Tatizo ni kuwa Lowassa ni mpango wa nyumbu kwa kutumia jina la Mungu.
Wenye mapenzi mema amani iwe nanyi. Endeleeni kuomba ili Mwenyezi Mungu atupe ufahamu wa kuchagua kiongozi bora, kuliko kumlazimisha ampitishe Lowassa