Wana jf tambua ya kuwa:

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,373
[h=5]LAKINI TAMBUA YA KUWA:

** Dagaa mboga, Kuku mbwembwe tuu.
** Silaha pesa, Bastola mzigo tuu.
** Heshima pesa, Shikamoo kelele tuu.
** Upara bila elimu/Pesa, Sawa na kovuu tuu.
** Chezea mshahara, Usichezee kazi.
** Iga kazi, Usiige matumizi.
** Ukitaka kujua shortcut mjini, kula nauli.
** Ukitaka kumjua mke/mume wa mwenzio mchungu subiri fumanizi.
** Ukitaka kuona masaa hayaendi, Kalale Police.
**Ukitaka kuona uchungu wa kudai, Kopesha ukweni.

Ongeza msemo unaoujua...
[/h]
 
Hiyo ya masaa kutokwenda baada ya kulala polisi nakubaliana nayo kabisa........niliwahi kuingia saa kumi na mbili jioni.......nikatoka kesho yake saa nne......nikajua siku mbili zishapita.......
 
hii itakuwa misemo mipya ya kidijitali..... safi sana!
 
MUDA HUU WEWE HAPO UNAPOST HIVI LAKINI TAMBUA YA KUWA:

** Dagaa mboga, Kuku mbwembwe tuu.
** Silaha pesa, Bastola mzigo tuu.
** Heshima pesa, Shikamoo kelele tuu.
** Upara bila elimu/Pesa, Sawa na kovuu tuu.
** Chezea mshahara, Usichezee kazi.
** Iga kazi, Usiige matumizi.
** Ukitaka kujua shortcut mjini, kula nauli.
** Ukitaka kumjua mke/mume wa mwenzio mchungu subiri fumanizi.
** Ukitaka kuona masaa hayaendi, Kalale Police.
**Ukitaka kuona uchungu wa kudai, Kopesha ukweni.

Ongeza msemo unaoujua...
WAKATI

HUU MIMI HAPA NAFANYA HIVI KUPIGA PICHA BURJ ARAB

 
C.T.U acha mbwembwe atakama muda huo ungekuwa upo chooni unasoma haituhusu chukua kumi zako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…