Wana JF niwatake radhi.

Unapenda sana kujiongelea wewe badala ya kujifunza ukweli uko wapi.
 
Jamaa unachukulia kila kitu kwa undani sana wa nafsi na akili yako.
Unataka watu wakuzingatie (attention) wewe kama mtoto wao. Ukija kuoa utamsumbua sana mkeo.
Ukizeeka au ukiumwa utawasumbua sana watoto wako na nduguzo
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…