Wana jf nisaidieni kupata kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf nisaidieni kupata kazi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Henasmile, Apr 30, 2011.

 1. H

  Henasmile Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  :bored: NATUMAI NI WAZIMA. JAMANI WANA JF MWENZENU NIMETAFUTA KAZI KIASI KWAMBA NAHISI HADI KUKATA TAMAA. NINA BACHELOR DEGREE YA REGIONAL DEVELOPMENT PLANNING, PIA NINA MASTERS YA BUSINESS ADMINISTRATION - CORPORATE MANAGEMENT. PLEASE JAMANI NISAIDIENI NAWAOMBA. NAHITAJI SANA KUFANYA KAZI ILI NITUMIE UJUZI WANGU KULIKO NILIVYOKAA TU NYUMBANI. NAMBA YANGU 0713233073 KWA AMBAYE YUPO TAYARI KUNISAIDIA KATIKA HILI SUALA LA KAZI
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakika elimu ni kazi bure ndugu. Jaribu kusoma magazeti kama guardian, citzen kuna nafasi za kaz wanatoa mara kwa mara!
  pole ndugu maisha ndivyo yalivyo, mwombe mungu atakusaidia tu.
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  pole bab... kwa nini usitumie huo ujuzi kujiajiri...?

  lakini kabla ya kujiajiri au kuanza small business ask your self

  a) Do i have what it takes to run my own business?

  - ask ur self these sub questions
  1) do u enjoy tackling new projects?
  2) do u take the initiatives or do you usually wait for some one to tell you what to do?
  3) do u like people
  4) are u well organized
  5)do u stick with things or do you get discouraged easly?
  6) can you visualize your self at the helm of your own bussiness?
  7) do you have a lot of energy
  8)do you keep going even when things are crashing around you?

  kama jibu lako ni YES more than half of those qns u can start your own small bussiness

  b) Ask your self how can i use the skills i hv got to start my own business...?

  jiulize haya maswali-

  1) are my skills transferable to a service or manufacturing business " sahau biashara ya kuuza na kununua"
  2)do i need additional training..?
  3)do i need partner whose skills complete mine..?
  4)would it be easy to promote my talents to the public..?

  kama jibu lako no then you should not consider setting on ur own.

  mkuu usisubiri kuajiriwa >>>> watu wengi wana succeed on small business
   
 4. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole Mkuu, endelea kuapply ipo siku utafanikiwa.
   
 5. K

  KWELIMT Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wana jf baadhi ya comments zinakatisha tamaa!naomba niweke wazi kuwa karibu wote wanaotafuta kazi kwa kupaza sauti ni watoto wa watawaliwa na wanyonywaji ktk nchi hii,KUMSHAURI AKAANZISHE BIASHARA NI KUMPIGIA DEBE MBUZI.MTAJI ATATOA WAPI?NAPATA WASIWASI KUNA WATU BADO HAWAJUI MAANA YA UFUKARA NA UMASIKINI UNAOMKABILI MTANZANIA HADI LEO! nafahamu ni kweli kuwa hatuna budi kuanza kutumia taaluma zetu kujiajiri lakini umaskini ulishatuingia hadi kwenye damu,ajira kwenye sectors nyingine ndo msingi ili angalau kurekebisha baadhi ya mambo pale kijijini kwa wazee na hata pale tunapoishi. HIVI KAMA ULIKUWA UNASOMESHWA NA NDG LEO HII NA MASTER'S DEGREE NIENDELEE KUMTEGEMEA HADI LINI?ndo hapo tunapolazimika kutafuta ajira hata kwa wahindi tupate pa kuanzia!

  Kwa hiyo unapoona mwana jf kaomba ushauri ujue maji yako shingoni,tafadhali tuendelee kusaidiana na si kukatishana tamaa.

  IT DOESN'T MATTER WHAT YOU KNOW BUT WHOM YOU KNOW-Chinua Achebe in his boo A MAN OF THE PEOPLE.


  EE BABA NAOMBA ENDELEA KUWAPIGANIA MASIKINI WA NCHI HII MAANA WANATESEKA SANA KUTOKANA KUKOSEKANA KWA UPENDO,USAWA NA HAKI.AMEN!
   
 6. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh, sisi wenye vi-bachelor sijui itakuwaje..................
   
 7. P

  Pretty P Senior Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pole sana mpendwa, mimi ninachoweza kukusaidia ni kukushauri utembelee baadhi ya Websites za kazi kama tunavyoshauriana apa JF, hakika utapata tu na usikate tamaa. Pili kila jambo unalofanya umshirikishe MUNGU wako na atafungua milango. Mimi pia natafuta kazi lakini nimejishikisha kwene Campuni moja ambayo duh!!! Kweli shida yaweza kukupeleka kusiko na japo ni kidogo napata experience na naweza kupata channel. So tuma maombi sehemu nyingi na usome magazeti kama MwNchi, Guardian, Citizen etc.
  Wish U all the best ndugu
   
 8. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uskate tamaa
   
 9. b

  benbnny9 New Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NATUMAI NI WAZIMA. JAMANI WANA JF MWENZENU NIMETAFUTA KAZI KIASI KWAMBA NAHISI HADI KUKATA TAMAA. NINA ADVANCE DIPLOMA IN ACCOUNTING, PIA NIMESOMA MASTERS YA ACCOUNTING NA FINANCE. PLEASE JAMANI NISAIDIENI NAWAOMBA KWANI NIMETEMBELEA NA NAZIDI KUTEMBELEA WEBSITE KAMA VILE www.naombakazi.com, www.kazi999.blogspot.com n.k VILEVILE HUWA NAPITIA MAGAZETI KWA KILA SIKU NA NINATUMA SANA BARUA LAKINI HAKUNA MAJIBU YA MAOMBI YANGU, SASA SIFAHAMU NI UANDISHI WANGU WA BARUA AU CV AU VYETI HAVIFAI/HAUFAI. NAHITAJI SANA KUFANYA KAZI ILI NITUMIE UJUZI WANGU KULIKO NILIVYOKAA TU NYUMBANI NA UKIZINGATIA NI NYUMBA YA KUPANGA NA KUJITEGEMEA NA KWA MAISHA HAYA KWANGU INANIWIA VIGUMU SANA KWANI MAISHA YAMEKUWA MAGUMU SANA KWANGU. email address YANGU NI benbnny9@gmail.com NAMBA YANGU HII HAPA 0713 506 156 KWA AMBAYE YUPO TAYARI KUNISAIDIA KATIKA HILI SUALA LA KUPATA KAZI. ASANTENI SANA WANA JF.:A S cry:
   
 10. H

  Henasmile Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ndo hivyo tuendelee kutafuta tu. one day God will see us.
   
 11. H

  Henasmile Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Viper, hujui tu, kukaa nyumbani simaanishi kwamba ndio nimekaa sitafuti hata mia. mi nafanya na biashara za networking lakini hizi hazihusiani na nilivvyovisomea. m,ana popote unaenda kufanya kazi lazzima uwe na uzoefu wa kuajiliwa,. na pia ata mimi natamani kuajiliwa kama ulivyo wewe. maana biashara ninayofanya ni ya vipodozi kwa wanaume na wanawake kutoka ORIFLAME ata wewe unakaribishwa kuwa member au kununua products lakini huwa ni vizuri kufanya hii biashara baada ya kazi. ivyo siwezi kutegemea hii tu
   
 12. H

  Henasmile Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15  wakati mwingine unaweza wewe ata usihangaike. kila mtu ana bahati yake
   
Loading...