Wana JF nisaidieni internet configuration katika windows phone samsung gt-b6520

Wana JF nisaidieni internet configuration katika windows phone samsung gt-b6520

Rhino

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Habari wana Jamii Forum nisaidieni kufanya configuration ya internet katika windows phone 6.5 samsung gt-b6520 service provider Vodacom
 
Habari wana Jamii Forum nisaidieni kufanya configuration ya internet katika windows phone 6.5 samsung gt-b6520 service provider Vodacom

andika wap samsung gt-b6520 tuma kwenda 15300 watakupa maelezo ya kuaccept configuration and save.tayari utakuwa umeunganishwa.una zima cm unawasha au unaandika wap seriol number nane za mwanznw tuma kwa 15300
 
Masayi77 nashukuru ukituma hiyo inasema hisupport ila kuna option ukiingia katika Settings-connections-gprs-proxy sasa hapo zinachanganya kwani kuna description kwenye gprs ambayo unaweka internet -wap netwek au the internet ,na kwenye proxy naweka nn maana kuna baadhi yaapplications inagoma kuunga help please
 
Back
Top Bottom