Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,597
- 14,159
Kwa mfano member gani unaowajua sana?jf naingia kila sikua asilia kubwa ya member nawajua ila leo
Ndo nimejiunga..
kabla ya kupigwa Ban ulikuwa unatumia Id ipi ?Wana jf nikaribisheni member
mwenzenu nimeanza
kutumia
jf muda kidogo nilikua bado
sijajiunga
na leo nimeamua rasmi
kujiunga
naomba mnipokee..'
Ahsanteni:
»»»»»»»»»
Members gani unawajua?Ban ndo nini?
Unatuchora sio? Ngoja utaelewa mods wakiiunganisha na hizo IDs zako za JahanamBan ndo nini?
Hapa tumepigwajf naingia kila sikua asilia kubwa ya member nawajua ila leo
Ndo nimejiunga..
Akikutajia nitag nipo paleI'd yako ya zamani ni ipi?
Unajijibu kiainaHapa tumepigwa
Unaruhusu uchunguzi ufanyike bwashe?Hapana mkuu
Ila siwezi kupinga uaminicho..!
Ndio mana nina id moja sina wasiwasi
Yeah nimekubali, karibu jukwaani.Ndio mana nina id moja sina wasiwasi
We mkongweeeSawa utakua rafiki..?