Wana JF naombeni msaada juu ya soko hili

Wana JF naombeni msaada juu ya soko hili

maufoungph

Member
Joined
Oct 16, 2018
Posts
77
Reaction score
171
Habari wana JF bila shaka mpo salama.
Nlipata bahati yakutembelea Lindi kwa mwaka huu vizuri nikakutana na fursa ya kuuza chips lakini kwa upande wa masoko ilikuwa ishu ila baada yakufanya utafiti juu ya masoko ikanibidi nitengeneze #TakeAway na kuuza kwenye bus zinazoenda Dar kutoka masasi na Mtwara ni kweli napata wateja ila nasikia sikia kwa watu kama kuuza biashara kwenye bus bila SUMATRA kuwa na taarifa za mfanya biashara ni case. Je kuna ukweli juu ya hili? Na je kuna mambo mengine natakiwa kuwa nayo ili kuimalisha masoko yangu kwa sheria?
 
Back
Top Bottom