Wana jf naomba mnijuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf naomba mnijuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NCHABIRONDA, Aug 17, 2011.

 1. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wadau wa soka hasa wale wapenzi wa soka la Bongo, kwa wiki nzima habari iliyokuwa imevuta hisia ya watu wengi ni habari inayohusu pambano la Simba na Yanga ambalo lilikuwa linatarajiwa kuchezwa leo kwenye uwanja wa taifa. Lakini toka jana kuna habari kwamba Yanga imegoma kwamba haitapeleka timu uwanjani kwa kuwa Tff haitaki kuwalipa pesa zao. Swali langu naomba kuuliza hivi habari hizi ni za ukweli? Kwa wakazi hasa hapo Dar naomba mnijuze nini kinachoendelea hapo jijini?
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni kweli yanga waligoma wakasema hadi walipe pesa zao na tff walikubali kuwalipa hvyo mechi itapigwa kama kawa. Source radio 1 sa mbili asubuhi
   
 3. K

  Kilete New Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kwa wanakandambili,kiroho sasa kwatu baada ya F.Mosha kwenda Kampala Jpili na kumalizana H.Kiiza,na hatimaye kutua rasmi juzi!Na si kweli kwamba eti alirudi yeye mwenyewe bila kufuatwa na mtu yeyote!Lakini yote kwa yote leo kandambili lazima itumike kogea walau hata mara 3!Simba Oyeeeeeeeeeeeeee!Taifa kubwa!
   
 4. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  asante mkuu kwa tarifa yako, ngoja nikajaze mafuta kwenye mashine kabla tanecko hawajaanza mambo yao.
   
Loading...