Wana JF na majina yenu

Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Ila lile jina lako la asili manengelo lilikutoa kweli, japo sikuingilii ila sikupenda mabadiliko yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa mm nilimuomba mods anibadilishe jina niitwe "MRS HERMANIUS STEYN" akasema ni noma🤣🤣! Ni yule mkulima alozuia ndege zetu...akasema hali sio nzuri..wakat ule aliwika balaa tz..haha akaniambia chagua jingine..nikamkumbuka huyu Prof nilikua nampenda...nikajiname Jina lake Wangari
Sahivi unaweza ukabadirisha mwenyewe tu jina unalolipenda
 
... waulize wasukuma wakupe maana ya 'KISHIMBE'!
1622064719047.png
 
Back
Top Bottom