Wana jf mbona hamnijali jamani..

unatafuta ukurugenzi au udereva maana siyo kwa misifa hiyo.
Dereva anahitaji sifa moja tu UMAKINI.
 
unatafuta ukurugenzi au udereva maana siyo kwa misifa hiyo.
Dereva anahitaji sifa moja tu UMAKINI.
Sawa mkuu nimejaribu kupunguza. Japoo waajiri waangaliie mbali na Udereva nina uwezo pia kufanya shughuli myingine wakinihitaji.
 
Kama unacheti cha udereva kutoka nit au veta tusiliane au nenda ajira portal ufungue account, utapata kazi
Ajira portal nimeshafanya application nasubiri mchakato wao sasa......
 
Majina kama ya "Swagger" yanaweza kukuharibia, ingawa ni just a user name but inaelezea we ni mtu wa aina gani.
Hilo ni jina la muigizaji wa Muvi mkuu kama ilivyo kanumba, steve nyerere wema etc pocha yake pia ni hyo kwenye avatar......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…