Wana JF huko pamekaaje?

Wana JF huko pamekaaje?

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Jamani Wana Jf huku kuna upepo mkali sana na vumbi kinomaa. Jua nalo linawaka kama vile kipindi cha kiangazi. Je, kwako huko pakoje?
 
huku wameufyata kule wakaufyatua ngoma bado draw
 
Huku kuna bonge la mvua, upepo na radi za hatari
 
Back
Top Bottom