Wana-jf Embu acheni makelele!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
kukikuwa na jamaa wanne walikuwa wanapiga stori ofisini. na ilikuwa hv/
WIKIPEDIA:Mimi najua kila kitu
FACEBOOK:mimi namjua kila mtu
JAMII FORUM: mimi najadilikila kitu!
GOOGLE:nyie wote hamniwezi, Mimi nina kila kitu. Utakachotaka nakupatia fasta!
Ghafla Akatokea TANESCO:"embu *Acheni makelele vinginevyo nitazima Umeme!"
 
Tanesco akukutana na UPS akanuna akaamua kupandisha bili na kuona kuzima sio dili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom