Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Naona mradi wako unaenda vema.....
View attachment 33327
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.
Next weeek ntawa Join niko njiani tokea kanda ya Ziwa naja hapo A town mara moja viji hiyo Jili jioni mtakuwepo hapo Soweto???? Ntajitambulisha kwa Jina langu kamili ila la haumu ndani sitokuambia ni nani
Naona mradi wako unaenda vema.....
View attachment 33327
Na muwe basi mnaniungisha......sio mkione tu mkipite......mkipande kwa wingi
Kuweni makini. Mkijuana sana mtaogopa ku post vitu vya maana kwa kuogopana.
All the best wana Apollo! kazi nzuri hii msikatishwe tamaa
Akunyimae mbaazi ....................