Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Najua tu kuwa RAM yake ni GB 7000na kitu kama sio 1000, hivyo vingine sivifahamu,
RAM ina GB ngapi?
Najua tu kuwa RAM yake ni GB 7000na kitu kama sio 1000, hivyo vingine sivifahamu,
kuwa slow ktk internet kunasababishwa na vtu vingi. kama kujaa kwa hard disk ni kama umezidisha sana mpaka pc inaleta notification kuhusu kujaa teena katika partition inayobeba OS. PIA kama ni Os ya mda mrefu teena kwa kutumia net huwa inafanya update labda znazofanya pc kuwa nzito. Unachotakiwa kufanya jarb modem katika computer nyingine ikiwa poa pakua os ya pc yk.
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
Najua tu kuwa RAM yake ni GB 7000 na kitu kama sio 1000, hivyo vingine sivifahamu,
Hapo kwenye red mkuu uko sahii kweli?????
RAM ina GB ngapi?
Nimekosea kwa kuongeza sifuri, ni kwamba RAM yangu ina GB mia saba na zaidi.
Kwa sababu tatizo lipo na halijajulikana kiini chake, ningeshauri ajaribu kufanya yafuatayo:
1. Ajaribu hiyo modem yake kwenye PC nyingine (ya rafiki yake) na aone kama ina- behave the same.
2. Kama anaweza pata modem nyingine ya airtel (ya rafiki yake) ajaribu kuitumia ktk PC yake na aone kama speed ni hivyo hivyo.
Lengo ni "solving the problem by elimination". Ikiishajulikana tatizo ni wapi basi itakuwa rahisi kupambana nalo.
Nimesoma michango ya watu ila tatizo lipo kwa Mleta Mada inaelekea haijua vema PC yake. Mleta Mada ungekuwa unajua Specs za PC yako ingesaidia sana.
Aliemjibu mwanzoni alianza vizuri akijua jamaa sio mtaalamu kwenye computer.huenda kwenli kacheki mashine yake akagundua mafile yamejaa au hard disk ndogo.
Huenda una file virus inayoreplicate files na kufanya pc yako iwe slow.
Huyo jamaa aliesema ni IT wa dunia gan sio vizuri kumdharau mwenzako huenda ww ndo uko shalow...
Hapo huenda kukawa na sababu kibao like hiyo modem haiko compatible na OS yake, computer ina virus, Hiyo modem haina salio , Computer yako ni ya zamani so specification zake ni ndogo,processor fan ina vumbi huenda inafanya cpu ichemke, sababu ziko nyingi mpaka mtu akucheki tu akupe solution nzuri
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
Nimekosea kwa kuongeza sifuri, ni kwamba RAM yangu ina GB mia saba na zaidi.
Sawa mkuu nimekupata. vipi tatizo limefikia wapi mpaka sasa, tupe mrejesho.
Kwa bahati mbaya sikuweza kushughulia tatizo kwani nimepata dharura, nikirudi nitafanyia kazi ushauri na msaada uliotolewa na wana-IT hapa jukwaani.
sio kweli mkuu ila hakuna comp yenye ram gb 7000 nyingi amabzo zimetoka hivi karibuni ambazo zina ram kubwa nyingi ni gb 8 so info yako ya gb sio kweli,ila kwa mujibu conversation niliyofuatilia most likely causes ya tatizo lako ni kujaa kwa pcfanya partiotion kama bado na hakikisha partition ambayo os ina gb 10 na kuendelea free space,au otherwise futa vitu upunguze ukishindwa piga os chini,weka nyingine
download network driver tena,, agalia network card yako ni ya aina gani,, kufanya hivyo nenda device manager,, ukishajua basi download drivers mahususi kwa card yako,, baada ya hapo remove the current driver and re install the new driver,,, na kama ikiendelea basi nunua card ,mpya
Aanze na network drivers wakati anatumia MODEM..mhhh!
nahisi atakuwa ashapata jibu nw la tatizo lake,Huenda mleta Mada anamaanisha PC yake ina HDD ya 700GB ila ajajua utofauti wa RAM na HDD
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums