Wana IT nithibitishie hili kama ni ukweli

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
 
Kwa kuanza twambie unatumia modem gani na mtandao gani?
Je upo mkoa gani? Kama ni siri je huo mkoa siri yako kuba 3G au ni EDGE(2g)
Ukitoa hayo majibu hapo juu hautopata tena hiyo snail internet
 
Huyo IT wa Nchi gani?

Anywayz point sio kumproove right au wrong huyo IT bali nikukusaidia wewe

Kwa kuanza twambie unatumia modem gani na mtandao gani?
Je upo mkoa gani? Kama ni siri je huo mkoa siri yako kuba 3G au ni EDGE(2g)
Ukitoa hayo majibu hapo juu hautopata tena hiyo snail internet

Modem nnayotumia ni airtel ZTE, na mkoa niliopo ni 3G.
 
download network driver tena,, agalia network card yako ni ya aina gani,, kufanya hivyo nenda device manager,, ukishajua basi download drivers mahususi kwa card yako,, baada ya hapo remove the current driver and re install the new driver,,, na kama ikiendelea basi nunua card ,mpya
 
The hell did you just advise??
 
Anasema ana matatizo na internet, wewe unamwambia adownload drivers mpya, atadownload na nini???
 
The hell did you just advise??
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?

kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi
 
computer yako ina specification Gani?? tuambie RAM ni ngapi? Processor? na HDD ina free space kiasi gani kwenye system drive?
 
Kwa sababu tatizo lipo na halijajulikana kiini chake, ningeshauri ajaribu kufanya yafuatayo:
1. Ajaribu hiyo modem yake kwenye PC nyingine (ya rafiki yake) na aone kama ina- behave the same.
2. Kama anaweza pata modem nyingine ya airtel (ya rafiki yake) ajaribu kuitumia ktk PC yake na aone kama speed ni hivyo hivyo.

Lengo ni "solving the problem by elimination". Ikiishajulikana tatizo ni wapi basi itakuwa rahisi kupambana nalo.
 
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?

kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi

Ha ha ha ha..."To hell na wewe kama ni matusi" Umenichekesha ndugu.

Sent from my BlackBerry 9900 using Jamii Forums.
 
download network driver tena,, agalia network card yako ni ya aina gani,, kufanya hivyo nenda device manager,, ukishajua basi download drivers mahususi kwa card yako,, baada ya hapo remove the current driver and re install the new driver,,, na kama ikiendelea basi nunua card ,mpya

Mkuu asante nitaufanyia kazi ushauri wako.
 
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?

kwenye red hapo ndo ulikuwa msingi wa jibu langu kwake,, sometimes drivers na card pia inaweza changia tatizo lake,, kama internet ni 3G so kwa nini iwe shida ya yeye ku connect,, unless kama tatizo hilo ni wateja wote ikiwa ndo hivyo basi ISP atakuwa anadanganya kiwango cha speed cha service yake.. otherwise itakuwa tatizo liko kwenye either modem yake, netcard, au drivers za card husika. otherwise to hell na wewe kama ni matusi

Brother hufai kua support, I'm not insulting u or anything just stating the obvious!! Mtu akija kwako akakwambia PC yake haiwaki umsaidie, kwanza unaamwambia aangalie kama Waya wa power umechomekwa vizuri then ndo unaendelea from there, sio kumshauri arekebishe Power supply na ikikataa abadilishe mpya. The guy kasema internet ina load polepole, na inakamata 3G(i'm not sure so much about this either cause i can tell the guy is a Layman so labda hakuelewa vizuri what this means) ila ignoring that personal i think kwanza inatakiwa kujaribu maybe different SIM card au modem, then progress from there ila messing with the drivers kama your first option na last option kununua card mpya....really?!! P.S. Life's a living Hell so hata sio tusi kabisa hilo!
 
computer yako ina specification Gani?? tuambie RAM ni ngapi? Processor? na HDD ina free space kiasi gani kwenye system drive?

Najua tu kuwa RAM yake ni GB 7000na kitu kama sio 1000, hivyo vingine sivifahamu,
 
Poleni mno, ila hata os zingine vimeo
 
ww mtoa mada unajua maana ya PC, Au maana ya RAM. PC yako ina GB 7000. duu we mkali, Pc yako Itakua babu kubwa. maana yangu tu GB 2. jaribu kujua Computer vizur. ujuwe uwezo wake. na umejaza nn. pia Pc yako ni kweli Umejaza vitu vingi na power yake ni ndogo. nazania ata ukiwa unafungua vitu vingine unasubir kama dk. 2 ndio inafunguka. kwenye kubun ndio itakua nzito pia na mtandao unaotumia unazingua tena naamini unaunga ile ya 500 ambayo nayo ni chazo. jaribu kutumia voda
 
nenda kwa rafiki yako yeyote mwenye internent connection nzuri nitafute kwa skype MSFOCBA-IQ-Najaf-LOG hakuna tofauti ya saa kati ya hapa nilipo na Tanzania,, so nipigie jioni kama saa moja hivi kwa sasa niko kazini ila niko break kidogo,, twaweza hangaika wote kutafuta solution nikishindwa basi na wengine watakusaidia
 
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?
kuwa slow ktk internet kunasababishwa na vtu vingi. kama kujaa kwa hard disk ni kama umezidisha sana mpaka pc inaleta notification kuhusu kujaa teena katika partition inayobeba OS. PIA kama ni Os ya mda mrefu teena kwa kutumia net huwa inafanya update labda znazofanya pc kuwa nzito. Unachotakiwa kufanya jarb modem katika computer nyingine ikiwa poa pakua os ya pc yk.
 
ww mtoa mada unajua maana ya PC, Au maana ya RAM. PC yako ina GB 7000. duu we mkali, Pc yako Itakua babu kubwa. maana yangu tu GB 2. jaribu kujua Computer vizur. ujuwe uwezo wake. na umejaza nn. pia Pc yako ni kweli Umejaza vitu vingi na power yake ni ndogo. nazania ata ukiwa unafungua vitu vingine unasubir kama dk. 2 ndio inafunguka. kwenye kubun ndio itakua nzito pia na mtandao unaotumia unazingua tena naamini unaunga ile ya 500 ambayo nayo ni chazo. jaribu kutumia voda

Sio kila mtu humu ana uelewa mkubwa juu ya mambo ya PC, hivyo hamna haja ya kejeri ni kuelekezana tu!!
 
Desk top yangu inanisumbua kwenye interne t system, nikiweka modem inasumbua kwa ku-search mda mrefu, sasa kuna jamaa mmoja anayesomea IT akaniambia kuwa tatizo la internet kwenye computer yangu inachangiwa na kuhifadhi vitu vingi kwenye disk, hivyo naomba nithibitishiwe hili kama kuna ukweli ili nichukue hatua. na je ni nini vinasababisha internet kuwa slow?

Duh ase hizi replies humu if it was me asking hata nisingerudi! Anyways try answering these for me, might help ya!
1. Tatizo limeanza hivi karibuni au ni tangu mwanzo?
2. Je na PC inakua slow pia ukiwa haupo connected, au ni internet tu ukiunga ndo iko slow ila PC speed iko vizuri?
3. Modem hua inwaka Green or Blue unapoitumia
 
Back
Top Bottom