"host computer program" umeniacha hapo kaka
"host computer program" umeniacha hapo kaka
nilivyodhani mimi ni kuwa ukishaweka os kwenye VM, unatumia programs ambazo ziko installed kwenye physical os. The existing operating systemkivipi huwezi kutumia kama inavyotakiwa?
nilivyodhani mimi ni kuwa ukishaweka os kwenye VM, unatumia programs ambazo ziko installed kwenye physical os. The existing operating system
Nilipenda ku test window 10 inafanyaje kazi. Siwezi kufanya fresh installation so nikaamua kutumia Oracle VM VirtualBox kama virtual machine. But sasa Siwezi kutumia host computer programs kama inavyotakiwa. ����
Host Operating System - Operating System iliyo kwenye machine yako unayoboot nayo na humu ndo umeinstall VirtuaBox.
Guest Operatins System hii ni OS (Windows 10) uliyoinstall ndani ya Virtual Machine uliyoitengeneza kwenye VirtualBox.
So Host yako inabaki kama ilivyo na hauwezi kurun program za windows 10 kwenye host.
Program za Win 10 zitarun kwenye Guest tu. So inabidi ustart VirtualBox kisha urun hiyo Guest kisha utumie kama vile ni machine inayojitegemea.
Hutaweza kutumia zile applications zilizopo kwenye ile OS mama, unapoongea kuhusu virtual machine, ni kwamba umetengeneza computer ya pili inayoRun kwenye environment ya comouter nyingine.
Hivyo hiyo windows10 ipo kama separate computer na ile windows nyingine ipo kama separate computer,. Ukitaka kuweka application itakubidi kuziInstall hizo apps kwenye hiyo VMWARE ya windows10 pia.
Hata ukitaka kuona ports za computer unahitaji kuMAP kwanza hizo ports au drives
ymollel,window 7 yangu not guinuine vip how can i solve this mkuu
Hapo unahitaji wga remover halafu ufanye activation
sijakuelewa mkuu,nikishadownload hyo wga remover,activation naifanyia wap coz inaniomba key kila nikitaka kuactivate inaniomba key
Computer hiyo ni aina gani? Na je inawaka hadi inafunguka kabisa?
nilivyodhani mimi ni kuwa ukishaweka os kwenye VM, unatumia programs ambazo ziko installed kwenye physical os. The existing operating system