Wana Ifunda Tech. Sec.


hahahahahahahahahahahah.............
in red, MAN JITU....umenikumbusha mbali sana!!hii product ya AZANIA ngumu kuisahau, ilikuwa Mkwawa B6 na akina P DIDDY full mkimbizano na domitory master Man2Man...........
 
Mod's hii kitu vip. Mazungumzo binafsi. Au kanuni zinasemaje? Haya mazungumzo ni ya facebook si ya Jf.
 
Ongezea na KITOMALI,SEUTA,KIUNGA,MAKIRIGA,NGIRI,KATARA,CHEMBA,KUZIVUNA,KWA-MAMA,MNAROMA,BONDIA,SINZA,MKWAWA,MIRAMBO,CHABURUMA BILA KUSAHAU ROOM YANGU G6 SEUTA,KIPORI,KUSIMAMISHA MNAZI,KIBAONI,KUUZOA.
MOMA
Ifunda member 2002-2004
0772123362

hahahahahahahahah.................
naona umemsahau MGENI, tcha wa namba jamaa alikuwa na pper jiwe..........
 
hahahah nikiwa Ruaha Sec tulishawahi kuja piga boli hapo na shule yenu 1991. mkatupiga bao tatu km sikosei, haikuwa mbaya. nakumbuka ilikuwa ndo breakthrough yangu kwenye timu ya shule niliupiga swafi mnoo tena tulivaa jezi za Argentina. Big up sana wadau
 
Ifunda siku nlipofika jamaa alikuwa ananipa historia ya shule tukafika sehem wanapikia mama ntilie jengo limechoka na kuna mashine akasema pale ilikuwa ndo ofisi ya headmaster.
 
Umenikumbusha A1 manake unapotoka mnarani ukishapita zuu lazima baada ya kuzunguka keep left unakutana na room ya akina SAID KAMBI, ABRAHAM MDASSA, SOLOMON MGIMBA, MWANYIKA FROLIAN, humo lazima unakutana na mtu alikuwa anaitwa kipofu form one!!!then unakwenda moja kwa moja unakutana na super ngede 1990-1993, halafu mojakwamoja unakutana na wanafunzi mjifeel wenyewe (mzee Nyamahanga) hapo akiwa rollcall pale mess ya mkwawa akiwa mwalimu wa Bweni, unaenda moja kwa moja lyandembela kupitia chabruma unakutana na vijana wanaogelea wengine no kutahiri, halafu unakwenda kile kijiji cha mbele kwenye makusu ambako watu walikuwa wanauza vijiko na sahani za wanafunzi wenzao, unarudi mojakwamoja hadi Bandabichi unakutana na Ayeya!! yap yap sijui unamkumbuka yule mshikaji alipewa ladhi na mamayake sijui alifanyanini? then unatokea nyumbani kwa Mwalimu ANAND maskini marehemu sasa unakwenda moja kwa moja hadi Milambo unakutana na class met Mapunda Ivo enzi , akiwa na wachezaji kama WAMBURA, aaaah unapitia moja kwa moja kwenye vyoo vya kuflash unakutana na mlima wa kinyesi halafu unaambiwa form one upige simu kwenu huku kiwaya kikiwa kimechomekwa kwenye nyesi!!!!! ahhh unanyoosha hadi pale Kisimani kuelekea ofisi ya MPIRI!!! MZEE WA ENGLISH halafu unaingia mazengo unakutana na IYDT zena seif akiimba taarabu mbele ya John Msumba huku kuna kaptein John Komba aka Mnyama wa motion(levocatus sebastian) then moja kwa moja hadi kwa people!! you you are playing zero distance hapo mnacheza disco na mabinti wa Iringa zuuu!! umenipeleka mbali sana!!
 
hahahahahahahahahah..........
unaikumbuka local connection, chemsha sana mahindi ya walimu juu ya dari!!!

Mkuu sana tuu pale seuta G4 kuna time tulichemsha maindi ya ma-teacher ikatokea hitilafu tulichezea fito balaa duu,but ni maisha tuu saivi nakula kuku kwa mrija uyee.
 
Samahani, mimi nmepangiwa ifunda tech lakini sielewi ntafikaje hapo shuleni.....
Nahtaji msaada
 
Ongezea na KITOMALI,SEUTA,KIUNGA,MAKIRIGA,NGIRI,KATARA,CHEMBA,KUZIVUNA,KWA-MAMA,MNAROMA,BONDIA,SINZA,MKWAWA,MIRAMBO,CHABURUMA BILA KUSAHAU ROOM YANGU G6 SEUTA,KIPORI,KUSIMAMISHA MNAZI,KIBAONI,KUUZOA.
MOMA
Ifunda member 2002-2004
0772123362
mmmh mi sijasoma huko but mambo yenu safi nina mpango wa kusoma a level uko kwa comb pgm vipi nipeni chachu za uko
 
mmmh mi sijasoma huko but mambo yenu safi nina mpango wa kusoma a level uko kwa comb pgm vipi nipeni chachu za uko
ni bonge la shule ila kama unajielewa product ya 2017 advance huwez jutia kuwa the grorious ! coz hubanwi sana unafanya unacho penda kwa wakati wako
 
D2 hoyeee!!!! Block lililopo karibu na mesini
 
Wazee wa msuli msitu,kwa MOTHER P,KIBAONI, Bila kumsahau MAN TO MAN mzee wa marathon alitupa shida sana madoja!!!!
IFUNDA(2014-2016) SEUTA.
 
Ilikuwaje ikawa 1988 to 1992, badala ya 1988 to 1991?
 
Nilimpkea Libealtusi Kinyonto kupiga malimba na kinanda IYDT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…