Wana haki kuzuia maoni kwa akaunti zao ambazo zinashiriki na CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia @nicholasmari said: na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na kuigarimu taifa.

Ni kwamba wanajua maovu ambayo yanaendelea ila ni wanufaika ili waendelee kuishi duniani wache funge comment ila JF ndio wameshindwa.

Tanzania ndio nchi pekee nimeona page ya raisi na polisi zikifunga comment yani tumeizidi USA kwa teknolojia na jeshi namba moja duniani kuzidi GOMA.

Kwenye page mbali mbali za mitandao ya kijamii likionekana jambo la CCM wananchi ni kama wamechoka ni mwendo wa matusi,kejeli na malalamiko.

Sasa hawa wadudu chawa niliowataja wajiulize kipaumbele cha mama yao mzazi japo wajaziliwa kwao na kuibaka katiba kushiriki tena kipaumbele chake kuwa raisi mkifa ni kwamba maiti zenu msidaiwe hata mkikosa matibabu kisa pesa na mshangilie
 
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na kuigarimu taifa.

Sasa hawa wadudu chawa niliowataja wajiulize kipaumbele cha mama yao mzazi japo wajaziliwa kwao na kuibaka katiba kushiriki tena kipaumbele chake kuwa raisi mkifa ni kwamba maiti zenu msidaiwe hata mkikosa matibabu kisa pesa na mshangilie✌🏿💪🏿
 
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na kuigarimu taifa.

Ni kwamba wanajua maovu ambayo yanaendelea ila ni wanufaika ili waendelee kuishi duniani wache funge comment ila JF ndio wameshindwa.

Tanzania ndio nchi pekee nimeona page ya raisi na polisi zikifunga comment yani tumeizidi USA kwa teknolojia na jeshi namba moja duniani kuzidi GOMA.

Kwenye page mbali mbali za mitandao ya kijamii likionekana jambo la CCM wananchi ni kama wamechoka ni mwendo wa matusi,kejeli na malalamiko.

Sasa hawa wadudu chawa niliowataja wajiulize kipaumbele cha mama yao mzazi japo wajaziliwa kwao na kuibaka katiba kushiriki tena kipaumbele chake kuwa raisi mkifa ni kwamba maiti zenu msidaiwe hata mkikosa matibabu kisa pesa na mshangilie
Hilo bichwa limejaa vinyesi we mbwa
 
Kwani hauwezi kuchangia MADA bila kuandika matusi?.

Mtu Kama anasapoti Ccm au Chadema sio dhambi.

Mfano kaka yake Lissu ni MwanaCcm kindaki ndaki ila Lissu ni Chadema.

Kuandika matusi mtandaoni kisa siasa ni kujitafutia matatizo , bora JF watu wanalindwa Ila huko Facebook n.k watu wanakamatwa.
 
Uliona wapi hekima ikatumika sehemu ambayo hakuna hekima.We ulitaka walinda amani wanaokwenda nchi zenye vita wavae majohoo
 
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia @nicholasmari said: na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na kuigarimu taifa.

Ni kwamba wanajua maovu ambayo yanaendelea ila ni wanufaika ili waendelee kuishi duniani wache funge comment ila JF ndio wameshindwa.

Tanzania ndio nchi pekee nimeona page ya raisi na polisi zikifunga comment yani tumeizidi USA kwa teknolojia na jeshi namba moja duniani kuzidi GOMA.

Kwenye page mbali mbali za mitandao ya kijamii likionekana jambo la CCM wananchi ni kama wamechoka ni mwendo wa matusi,kejeli na malalamiko.

Sasa hawa wadudu chawa niliowataja wajiulize kipaumbele cha mama yao mzazi japo wajaziliwa kwao na kuibaka katiba kushiriki tena kipaumbele chake kuwa raisi mkifa ni kwamba maiti zenu msidaiwe hata mkikosa matibabu kisa pesa na mshangilie
Gentleman,
that's useless and completely nonsense.

hata hivyo,. Jambo la maana zaidi ni kwa waTanzania kuipa CCM ridhaa ya kuongoza nchi ili hatimae kuendelea kuinjoy amani na maendeleo bila kujali mihemko, makasiriko au chuki binafsi zilizowajaa vibaka wa kisiasa nchini waliopoteza uelekeo.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu mbariki mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Uliona wapi hekima ikatumika sehemu ambayo hakuna hekima.We ulitaka walinda amani wanaokwenda nchi zenye vita wavae majohoo
Nitumie namba yako PM ili unishauri zaidi. Inawezekana ninakosea hivyo ni vema tukakutana uso kwa uso unishauri.
 
Back
Top Bottom