Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

Pole sana kwao mungu awe nao na iman watapona na kutejea kazin kama kawaida.
 
Pole zao,Mungu awaponye kwa wale walioumia,tunaheshimu mchango wao
 
jamani,mbona mabomu yanazidi?,sipo mbali na eneo la tukio,nimeumia mguu najiuguza...
 
poleni sana wakwetu coz tunajua nyie ni wafuasi wetu sema tu taaluma yenu hairuhusu mjioneshe. UGUA HARAKA MBISE:high5:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom