Wana-CHITCHAT Walevi sana

Unajua kachupa kamoja ka KONYAGI ni sawa na kijikatoni cha vile vi-kesto laiti?
Ila kwanini umeua bendi JF Founder, yaani mimi ndo Baba Tau wao?

Kumbeee aisee, ila nasikia ukiwa chicha imani yako ya dini inakuwa kali sana, unaweza kupoteza uhai kwa kuitetea
 
Funda moja tu, linatosha kukuumbua!! Alafu hiyo chupa unayozungumzia ni ya nini.......Captain Morgan au?? Hahah hampishani kabisa....

Ni kichupa cha mineral water
 
Lazima tumrudishie Mungu sifa za uumbaji wake bana. Sasa tufanyeje wakati nao wanataka?


Word..

BTW: ni matumaini yangu hilo tukio la kwenye picha,, madada zetu wapendwa nao watalileta nchini..
 
hapa nipo na Erickb52 mpaka amejikojolea,namuona Preta anang'ang'ania wanaume yupo tungi mbaya...mamaaaa..!!...we Madame B anarudisha chenji hapa


Duuuu..... kumbe ndo wanayoyafanya?
Erickb52 ndo kajiachia hivi hadi.....yalah....uwiiiiii
Preta ndo mzuka umepanda mpaka.....tobaaaa
Ndio maana hatukuwaona jana, loo,
Huyu Erickb52 aliitisha kikao na wala hatukumwona sie tumeuza dagaa weeee.........atanikoma.
 
Lazima tumrudishie Mungu sifa za uumbaji wake bana. Sasa tufanyeje wakati nao wanataka?
Nlikuwa kawaida tu mbona? Sema tu nlikuwa hodari wa kuwinda.
Nimechekaje? babu jamani, unatupandisha mori wengine hapa......hako kamshedede.
 
mh,me ctumii any alcohol bt napuliza haste haste. camel cigar zahucka kwa mbaaaali. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…