Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta

mamaaaaaaaa!!........uuuuwiii!.....umepewa posho ya shilingi ngapi uje univurugie mipango ya harusi? Nataka nikulipe mara 100 ya hizo ulizolipwa na aliyekutuma namlipa kisha nawahamisha nchi kama sijawafunga maisha.unataka umfate babu seya!walah uhamtaja tu,nani mpenzi niletee hiyo machiner gun yangu nikuoneshe maana inanja.wewe Preta na Ivuga niliwakodisha miguu ya kuku naomba mlete haraka jeshi la Nato linataka kwenda kazini
 
mlaani shetani Madame B, kweli umefikia kubwabwaja haya hadharani??

Sio hivyo SALOK,
Ni bora angenieleza ukweli nikajua la kufanya,
lakini kwa kitendo alichofanya Shemeji yenu,
Mkae mkijua hata mje na maroli mia mbili ya Msamaha,
SITAMSAMEHE KAMWE...!!!
Mpe taarifa hizi ili akae akijua.
Na hiko kikao mwambie amtafute wa kumuoa,
lakini si mimi Madame B wa Ukwenhe..!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini kakako asitafute mwenyewe? Tutajuaje, labda kakako hajaamua kutafuta kwa kuwa aaona hiyo ndo nafuu kwa mchukuzi? Tunasubiri mpaka yeye mwenye mali aje bhana.
 
Kumbe Upo shemeji?..Hivi umesahau mawigi ya kichina aliyokuwa anakununulia kaka?

Umesahau zile dawa za kichina za kukuzia makalio alizokuwa anakununulia?

Umesahau kile kibanda cha nyasi cha wazazi wako alivyokikarabati na kuweka tiles?
Umesahau ulivyokuwa unamgasi akununulie dera jipya kila alhamisi ili uende nalo ngomani mbande na maneromango kwa shangazi zako?au kimanzichana kwa wifi wa shemeji wa kaka yako?

Yaani hayo yote umesahau???shetani gani aliyekupata?....na ole wake huyo aliekuweka kinyumba

Nilimtuma?
Na yeye alivyonichakaza je?
Ngoma droo.
Nipo kwa Muhaya najilia vyangu.
We! We! We!
Unasemaje Shem?
Hii kitu sio Mchina ni Original tupu..!!
Au hajakuonesha picha zangu za utotoni.
Kwanza me nimezaliwa maghorofani.
Shem,tusitafutane ubaya.
Tatizo kaka a'ko hakuwa muwazi!!!!
 
mamaaaaaaaa!!........uuuuwiii!.....umepewa posho ya shilingi ngapi uje univurugie mipango ya harusi? Nataka nikulipe mara 100 ya hizo ulizolipwa na aliyekutuma namlipa kisha nawahamisha nchi kama sijawafunga maisha.unataka umfate babu seya!walah uhamtaja tu,nani mpenzi niletee hiyo machiner gun yangu nikuoneshe maana inanja.wewe Preta na Ivuga niliwakodisha miguu ya kuku naomba mlete haraka jeshi la Nato linataka kwenda kazini

Eheee wewe nimekusikia sana,.............hapa hali mtu rushwa ndio utajua maharage ni mboga....Kwa taarifa yako hatutumii bastola wala AK47 hapa ni mwendo wa silaha za jadi.......upinde na mshale, rungu, nati, nyankomogho (mawe kutoka tarime) ya kupigia wachimvi kama nyinyi..........Jifiche hivyohivyo
 
Kwa nini kakako asitafute mwenyewe? Tutajuaje, labda kakako hajaamua kutafuta kwa kuwa aaona hiyo ndo nafuu kwa mchukuzi? Tunasubiri mpaka yeye mwenye mali aje bhana.

Aaa....thubutu!!
Hata nguvu za kuandika msg anazo?
Yani sirudi hata kwa mdomo wa Mtutu.
 
Kwa nini kakako asitafute mwenyewe? Tutajuaje, labda kakako hajaamua kutafuta kwa kuwa aaona hiyo ndo nafuu kwa mchukuzi? Tunasubiri mpaka yeye mwenye mali aje bhana.

Ana hasira hawezi kushika simu.....Kiukweli lazima mtu anyonywe damu mwaka huu
 
Nilimtuma?
Na yeye alivyonichakaza je?
Ngoma droo.
Nipo kwa Muhaya najilia vyangu.
We! We! We!
Unasemaje Shem?
Hii kitu sio Mchina ni Original tupu..!!
Au hajakuonesha picha zangu za utotoni.
Kwanza me nimezaliwa maghorofani.
Shem,tusitafutane ubaya.
Tatizo kaka a'ko hakuwa muwazi!!!!

Nahisi harufu ya damu!! hakyanani
 
Aaa....thubutu!!
Hata nguvu za kuandika msg anazo?
Yani sirudi hata kwa mdomo wa Mtutu.

wewe sema tu..............na kwa taarifa yako nimeshajua kikao cha harusi yenu ...na kwa taarifa zaidi nimemtuma CIA wangu
 
nasema kama bwana harusi mtarajiwa,raha ya kipenzi Madame B naijua mwenyewe,hata ile karatasi ya silid nimetna mwenyewe.
Sasa basi kwakua sweet is for sweat,nipo tayari kufa na mtu/ watu....nimeagiza vikosi vya kufa mtu kimtutu na kijadi lazima nimgeuze mtu vocha kisha namkwangua na wanakamati wangu wote watajaza kwenye simu,ngoja muone
 
Ulishaona mtu anapata kipondo mpaka anakuwa pombe aina ya rubisi na watu wanakunywa? Na kwa taarifa yako mimi ni cannibal
 
New updates

Na ninasikia njama zote za kumtorosha shemeji yangu kapanga Bishanga.......
 
Last edited by a moderator:
aaa....thubutu!!
Hata nguvu za kuandika msg anazo?
Yani sirudi hata kwa mdomo wa mtutu.

hivi shem unajua kama braza kanunua trekta? Usihangaike na huyo kuri Ruhazwe JR. Wa ubungo bus stand! Atakuzeesha bure, kwanza nasikia eti tv mpaka ukaangalie kwa jirani, hebu nipe ahadi yako basi kwamba utarudi soon kwa brother!
 
Last edited by a moderator:
hivi shem unajua kama braza kanunua trekta? Usihangaike na huyo kuri Ruhazwe JR. Wa ubungo bus stand! Atakuzeesha bure, kwanza nasikia eti tv mpaka ukaangalie kwa jirani, hebu nipe ahadi yako basi kwamba utarudi soon kwa brother!

SALOK
Unajua najiuliza kwa nini Shemeji yenu anidanganye?
Hebu aje afunguke mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom