Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta

salok
unajua najiuliza kwa nini shemeji yenu anidanganye?
Hebu aje afunguke mwenyewe.

bro anamachungu hawezi kuja hapa! Ila sa7bu ni kama alivyoimba 20% katika wimbo wa "money money!!" hebu sikiza huo wimbo kwanza upate msg kamili!
 
Mbona kama imekula kwenu? Bidada hamtaki kaka yako,ila anakufagilia wewe kama shemeji yake. platozoom
 
Last edited by a moderator:
Nilimtuma?
Na yeye alivyonichakaza je?
Ngoma droo.
Nipo kwa Muhaya najilia vyangu.
We! We! We!
Unasemaje Shem?
Hii kitu sio Mchina ni Original tupu..!!
Au hajakuonesha picha zangu za utotoni.
Kwanza me nimezaliwa maghorofani.
Shem,tusitafutane ubaya.
Tatizo kaka a'ko hakuwa muwazi!!!!

Siku hizi ya hivi watoto wa mjini wanaita MAKAVU YA USO unawagaije ?
 
Mbona kama imekula kwenu? Bidada hamtaki kaka yako,ila anakufagilia wewe kama shemeji yake. platozoom
gambachovu Mbona alipokuwa anakula vya kaka hakusema....kaka kafukuzwa kibarua ndiyo anajifanya hapendi....kwa mila zetu wabantu atalazimika kupenda.Bado mke wa mtu...Najua na wewe utakuwa mmoja watu walioshiriki kumuiba
 
Last edited by a moderator:
bro anamachungu hawezi kuja hapa! Ila sa7bu ni kama alivyoimba 20% katika wimbo wa "money money!!" hebu sikiza huo wimbo kwanza upate msg kamili!

Si unajua kaka yetu pamoja na kazi ngumu alizofanya lakini alimpendezesha shemeji..halafu anamkana...lazima kisicho riziki kitalika tu
 
no!no!no!...mtarajiwa wangu wanamsingizia,huo wote ni wivu tu,mimi nilitoa karatasi ya silid mwenyewe

Hiyo silid uliyopewa wewe ni ya kichina..........kaka yeye alifungua mwenyewe...ilimchukua siku moja na nusu kuifungua we cheza...mimi ndiye nilikuwa napiga chabo
 
SALOK
Unajua najiuliza kwa nini Shemeji yenu anidanganye?
Hebu aje afunguke mwenyewe.

madame B umepata bahati ya kudondokewa na figganigga. kama wataendelea kukudanganya na kukusumbua usijisikie karaha wala usiwe na shaka ya kuniPM. Mia
 
madame B umepata bahati ya kudondokewa na figganigga. kama wataendelea kukudanganya na kukusumbua usijisikie karaha wala usiwe na shaka ya kuniPM. Mia

Figganigga! Nini mbaya?
MadameB unamtaka!
Beibe Nasty unamtaka!
Jane tripe zero nae pia !
Fcbk una wake wa4.
Twitter unao wa3
hapa napo demand yako ndiyo hiyo!
Are you come from King Mswati clans or what ?
Unazo nanii mbili nini ? Sio moja such as normal ?
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom