Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta

NA HII HAPA.
9k=

Nahisi damu inanuka......! ngoja nitafute zuna
 
Shemeji niko huku kusikokuwa na jina.
Shemeji,
Kaka yako aliniambia kuwa yeye ni Meneja wa CRDB Bank tawi la Millenium Tower.
Siku si nikaenda kwa kushtukiza,
lahaula lakwata.....!!!
Sikuamini macho yangu,
kwani nilimkuta yuko kifua wazi,jasho linamtoka,kachafuka vumbi mwili mzima yuko Parking anafagia na kufuta vumbi magari.
Shemeji,
Kaka yako simuhitaji.
Niko huku nakula bata kwa kwenda mbele.

Heeeeh!!
 
Figganigga! Nini mbaya?
MadameB unamtaka!
Beibe Nasty unamtaka!
Jane tripe zero nae pia !
Fcbk una wake wa4.
Twitter unao wa3
hapa napo demand yako ndiyo hiyo!
Are you come from King Mswati clans or what ?
Unazo nanii mbili nini ? Sio moja such as normal ?

Mkuu nasty nmekuachia baada ya kuona unachonga sana hadi ukaplan kuntoa mshipa. Niachie madame B bana. Huyu ndo size yangu. Safari hii naoa kabisa. Mia
 
Mkuu nasty nmekuachia baada ya kuona unachonga sana hadi ukaplan kuntoa mshipa. Niachie madame B bana. Huyu ndo size yangu. Safari hii naoa kabisa. Mia

figganigga apia kama kweli unataka kunioa.
Ila kabla ya yote naomba kujua yafuatayo:
1. Umeajiriwa au umejiajiri
2. Mshahara wako kwa mwezi Tsh ngapi?
3. Una magari mangapi?
4. Akaunti yako ina sh ngapi?
5. Nyumba yako umeipamba kwa nini,Tiles,Tanga stone,Vitofali au sakafu ya simenti
6. Matumizi yako kwa wiki ni sh ngapi?
7. Unavaa nguo 'made in wapi?
Mengine takuuliza baadae.
 
Mkuu nasty nmekuachia baada ya kuona unachonga sana hadi ukaplan kuntoa mshipa. Niachie madame B bana. Huyu ndo size yangu. Safari hii naoa kabisa. Mia

we nae unatokea wap?...mi watu bwana nimpendezeshe mpenzi wangu vimacho kodokodo.ntakugeuza vocha ooh!
 
figganigga apia kama kweli unataka kunioa.
Ila kabla ya yote naomba kujua yafuatayo:
1. Umeajiriwa au umejiajiri
2. Mshahara wako kwa mwezi Tsh ngapi?
3. Una magari mangapi?
4. Akaunti yako ina sh ngapi?
5. Nyumba yako umeipamba kwa nini,Tiles,Tanga stone,Vitofali au sakafu ya simenti
6. Matumizi yako kwa wiki ni sh ngapi?
7. Unavaa nguo 'made in wapi?
Mengine takuuliza baadae.

mimi nikisema utaona najitapa au nalinga. Muulize X-GIRLFRIEND atakupa full data. Mia
 
mimi nataka nikate mzizi wa fitina. Huyu madame B nimesha mwingiza kwenye plan ya 2012-2013. so kama alikuwa wao ni zamani sio sasa hivi. nmesha kuja mwenyewe. Mia

unamuingiza kwenye plan?ha,ha,..subir ntakacho kufanya
 
we nae unatokea wap?...mi watu bwana nimpendezeshe mpenzi wangu vimacho kodokodo.ntakugeuza vocha ooh!

Wewe mrembo kashindwa tabia zako. unapotea siku 5 huonekani, hata ukirudi hautagi wala huwiki. ndo maana akamua kukimbilia kwangu. alipo kuwa kwako ulimuona hafai, amekuja kwangu unajifanya kuungama. nipo radhi unigeuze mrupo lakini huyu mrembo sikurudishi ng'oo!. wewe endelea na hao hao ulio kuwa unamlingishia. hii ndo dawa ya wanaume macho juu. Mia
 
mimi nataka nikate mzizi wa fitina. Huyu madame B nimesha mwingiza kwenye plan ya 2012-2013. so kama alikuwa wao ni zamani sio sasa hivi. nmesha kuja mwenyewe. Mia

Kwa hiyo na wewe unataka umwage damu............ Madame B ni wetu na atabaki kuwa shemeji yangu..full stop...by the way nina mkutano naye usiku huu saa 7.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na wewe unataka umwage damu............ Madame B ni wetu na atabaki kuwa shemeji yangu..full stop...by the way nina mkutano naye usiku huu saa 7.

hakuna kitu kama hicho. utapita wapi?. Hayo mambo yalikuwa zamani. nmewapa nafasi mkashindwa kuitumia. sasa ama zangu ama zenu. hapa hamna shemeji wala jirani. mia
 
Last edited by a moderator:
Breaking news:

Usiku wa leo majira ya saa 7:30 nimekutana na shemeji yangu Madame B na tumeongea mambo mengi ya msingi kuhusu kuvunjika ndoa yake na kaka...........na kimsingi amekubali kuwa makosa yalikuwa yake.

Na kwa taratibu za mila zetu ikabidi nimsafishe mkosi na nuksi aliyoipata kipindi akiwa na Ruhazwe JR.....it was fantastic tambiko...............Na kwa sasa ameamua kukaa na mimi kwa siku moja zaidi kwa sababu amepata mkosi mwingine hivi karibuni kwa sababu ya maneno ya mzee wa mia figganiggawakati..... taratibu nyingine zitafuata baadaye.

Asanteni nyoote mlinisaidia kumtafuta......hasa my braza SALOK
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom