Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Chitchat Namtafuta mke wa kaka.... ametoroka nisaidieni kumtafuta

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by platozoom, Jun 10, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Sura pana hivi.........anapenda kupaka lipstic ............umbo namba nane. Jina lake ni madame B.

  Ni mke wa kaka alimtoroka mwezi uliopita kisa ni ukata alioupata kaka baada ya kufukuzwa kazi ya ulinzi...Ki-ukweli alicheza lile dili lakini likabuma.

  Kaka anampenda sana na nitaweka jina lake hivi karibuni...........Shemeji Madame B kwa nini utoroke?

  Kwa sasa nasikia anaishi kinyumba na mhaya mmoja nimepata jina lake moja, anaitwa Ruhazwe JR....PLIZ charminglady, Kipipi, sweetlady, Erickb52 nisaidieni kumtafuta kokote mlipo......kaka anaweza kupoteza maisha kwa presha..sitanii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  mmmmmmmh
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Heeh!! Mbona hamkusema mapema mpaka vikao vya harusi vishaanza?
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Asante charminglady ukimuona nistue.............si unajua tena shemeji yako...hatutki atutoke
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Vikao vya harusi gani? nifahamishe tafadhali, vyamhusu shemeji yangu?
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,227
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mweeeee!
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Umemuona?
   
 9. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,352
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  platozoom si bure, huenda kaka yako amelishwa limbwata
  Mke amechumbiwa na mume mwingine na mahari ishatolewa, leo unatubania pua hapa "eti namtafuta mke wa kaka"
  Give us a Clutch!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa.....umemuona?
   
 11. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,178
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Laa la la laaaa! Mwe yamekuwa haya? Madame B kumbe ndivyo ulivyo ati?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,875
  Likes Received: 2,044
  Trophy Points: 280
  Shemeji niko huku kusikokuwa na jina.
  Shemeji,
  Kaka yako aliniambia kuwa yeye ni Meneja wa CRDB Bank tawi la Millenium Tower.
  Siku si nikaenda kwa kushtukiza,
  lahaula lakwata.....!!!
  Sikuamini macho yangu,
  kwani nilimkuta yuko kifua wazi,jasho linamtoka,kachafuka vumbi mwili mzima yuko Parking anafagia na kufuta vumbi magari.
  Shemeji,
  Kaka yako simuhitaji.
  Niko huku nakula bata kwa kwenda mbele.
   
 13. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,178
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Zinduna hebu msikize vizuri kijana wa watu, yuko sirious ujue, unamsaidiaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Zinduna Kwa nini aondoke bila kuaga......na ujue hajapewa talaka kwa hiyo ni mke halali wa kaka..Au wewe ndiye uliemtorosha.Hivi ndivyo mnavyofundishwa kwenye unyago wa kimakonde!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Zinduna Kwa nini aondoke bila kuaga......na ujue hajapewa talaka kwa hiyo ni mke halali wa kaka..Au wewe ndiye uliemtorosha.Hivi ndivyo mnavyofundishwa kwenye unyago wa kimakonde!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  mwambie SALOK
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,178
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  mlaani shetani Madame B, kweli umefikia kubwabwaja haya hadharani??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,173
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Pigeni keleleeeee....
  Mi najilia kakitu hapa!
   
 19. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,035
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Kumbe Upo shemeji…..Hivi umesahau mawigi ya kichina aliyokuwa anakununulia kaka?

  Umesahau zile dawa za kichina za kukuzia makalio alizokuwa anakununulia?

  Umesahau kile kibanda cha nyasi cha wazazi wako alivyokikarabati na kuweka tiles?
  Umesahau ulivyokuwa unamgasi akununulie dera jipya kila alhamisi ili uende nalo ngomani mbande na maneromango kwa shangazi zako…au kimanzichana kwa wifi wa shemeji wa kaka yako?

  Yaani hayo yote umesahau………shetani gani aliyekupata?....na ole wake huyo aliekuweka kinyumba
   
 20. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,178
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  platozoom shemeji yako lazima atakuwa ana mapepo huyu si bure, mbona kabadilika hivi? Zinduna nae atakuwa anahusika si umeona maneno yake ee??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...