Vidar mzima wewe? Karibu sana! Usikose white party
habar wana chit chat nawasalim wote nakuwatakia week end jema one love.
Mkuu unafanya kazi nzuri ya kuisemea party yetu....see you there!
jana na leo.......... watu tunachit mpaka kule dadadek!
tupo..you good???
Mie na wewe tena!Hivi shemeji shemeji ulishanilipia kale kamchango eeh? Nimeloweka mwenzio.