Hii nimeipenda sana inajieleza vizuri mno! la sigara lipo, swali vp kuhusu bango la ngono?Mie ndo nlikuwa mpiga picha.... Umeelewa??
Kitu gold! Mbona unanitia hamu!Haya kam zis way nikukate kiu...
Heheheeee babu Kongosho haniwezi hata siku moja....hao walikuwa ni platozoom na mkewe wa zamani sio ummu kulthum
huyu hamu! na huyo mtoto kasoma mno! anamsaidia baba yake maandalizi!Nakutia hamu? Na huyu atasema anatiwa nini sasa??
Umejiandaa lakini? Si unajua kazi nyingine ngumu??
Ahsante kwa taarifa. Nikukute kabisa tiyari, sawa eh?