Wana CHADEMA mna mpango gani baada ya uchaguzi 2015?

Wana CHADEMA mna mpango gani baada ya uchaguzi 2015?

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Ndugu zanguni,

Unajua katika maisha lazima uwe na plan B. Sote tunajua uchaguzi wa 2015 makamanda wanategemea kula bata kinoma kwani wanategemea watashinda na kuchukua ikulu kilaiiniii.

Mimi napenda tu kuwa uliza makamanda swali moja tu wajemeni.

MNA MPANGO GANI BAADA YA UCHAGUZI 2015?

Ningependa kuwashauri vijana wenzangu muanze kuandaa maisha yenu sasa kwani 2015 wengi mnaweza kujiua au kupatwa na uchizi kwani ni dhahir Chadema itaanguka vibaya nafasi ya nne nyuma ya CU na NCCR.

Makamanda wengi wameacha kazi zao za kila siku na matokeo yake wameamua kujikita kwenye huu mradi wa Dj unaoitwa M4C wakitegemea kuula hapo 2015 wakati wenzao wanatumia ruzuku kujijengea majumba na kujitayarishia maisha ya pensheni baada ya 2015

Pia nawashauri wale wenye plan C kuanza kununua kabisa kamba za kujinyongea na sumu ya panya kwani bidhaa hizi zitakuwa adimu sana 2015

JITAMBUE
996509_513535478718395_1833497279_n.jpg
 
Hivi umebandika picha bila kugundua kama huyo jamaaa ni Green Guard wa CCM kwani kofia inajionyesha huyo ni Mwana CCM katandika Konyagi kisawasawa
 
Hivi umebandika picha bila kugundua kama huyo jamaaa ni Green Guard wa CCM kwani kofia inajionyesha huyo ni Mwana CCM katandika Konyagi kisawasawa
Umeona wapi hiyo kofia imeandikwa CCM?
 
Umeona wapi hiyo kofia imeandikwa CCM?
Watu design hiyo wengi tumewashuhudia katika vilabu vya pombe wakiwa na kofia za chama chenu, Rangi iliyopo ni ishara tosha kwani kamwe huwezi kukuta kijana wa CHADEMA kavaa kofia yenye rangi hiyo.
 
wewe si umeamua kuacha na siasa?
 
Hivi umebandika picha bila
kugundua kama huyo jamaaa ni Green Guard
wa
CCM kwani kofia
inajionyesha
huyo ni Mwana CCM katandika Konyagi
kisawasawa

mkuu, unasema ni green guard halafu unaonyesha kofia ya njano. hivi si hata yanga nao wanavaa kofia za njano? green guard kofia zetu ni nyeusi
 
Wanaokunywa viroba ni vijana wa ccm kwani hawana fikra za ku mek pesa wamezoea kupewa na mwigulu so hawawezi tafta lazima wakajidunge
 
Huyu chilisosi hana jipya.anauliza mamvo haya haya kila siku .
 
Ameweka picha ya green guard, ooh Chris lukosi utaknyimwa ile tenda ya ccm, iliyokufanya uhame chadema. Badala ungetafuta picha ya makamanda wewe umeweka picha ya green guard, sijui mwigulu akiona atakufanyaje...dah lengo lako ilikuwa uichafue chadema matokeo yake umeichafua ccm.chezea Mungu wewe...
 
Asichokijua ni kwamba vijana na watoto ambao wanakulia ndani ya Chadema wanaishi kwa matumaini na ni Imara kabisa kwani wanajua bado robo saa tuu. Waone sura zao,

ImageUploadedByJamiiForums1375331743.843735.jpg
 
Asichokijua ni kwamba vijana na watoto ambao wanakulia ndani ya Chadema wanaishi kwa matumaini na ni Imara kabisa kwani wanajua bado robo saa tuu. Waone sura zao,

View attachment 105180
Mkuu chama,

Kwa kuangalia sura za hawa watoto unaweza kuniambia ni wa mkoa gani?
 
Last edited by a moderator:
Watumia viroba ni hawa, na sijui watawapiga wakina nani baada ya wafadhili wao watakapo potelea jela kwa kashfa mbalimbali zikiwemo za unga.
ImageUploadedByJamiiForums1375332570.538078.jpg
 
mkuu, unasema ni green guard halafu unaonyesha kofia ya njano. hivi si hata yanga nao wanavaa kofia za njano? green guard kofia zetu ni nyeusi
Teh teh teh, utawafanya washabiki wa Yanga ambao wapo Chadema waondoke Yanga, waamie Azam.
 
Mkuu chama,

Kwa kuangalia sura za hawa watoto unaweza kuniambia ni wa mkoa gani?

Ukabila umekupeleka mpaka kwenye sura? Yaleyale ya Rwanda ambapo hata Wandengereko waliokuwa Rwanda lakini walikuwa na pua ndefu waliuwawa eti ni Watusi. Ritz kumbe wewe hatari kiasi hiki?
 
Last edited by a moderator:
Ukabila umekupeleka mpaka kwenye sura? Yaleyale ya Rwanda ambapo hata Wandengereko waliokuwa Rwanda lakini walikuwa na pua ndefu waliuwawa eti ni Watusi. Ritz kumbe wewe hatari kiasi hiki?
Ukabila gani kwani mimi nimetaja mkoa? Wacha wewe mbona wewe unaweka mapicha hakuna anayekuuliza?

Sasa hivi kila tukiandika habari za Chadema mnasema ukabila, mnataka wote tuwe Chadema haiwezekani.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh, utawafanya washabiki wa Yanga ambao wapo Chadema waondoke Yanga, waamie Azam.
Unachekacheka mwezi mchanga tayari? Vipi mama Mangula anaendeleaje na malaria? Zele picha umeshampatia Mangula?
 
Back
Top Bottom