Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,387
- 11,529
Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage.
Tulipaswa kuingia mitaani kufurahia sasa tumeufuta upinzani. Hakutakuwa na wa kutupinga au kuzuia maendeleo Tanzania nzima.
Ukiondoa Nkasi ambako yule Mkurugenzi ametangaza mpinzani hawa waachwe na mpinzani wao miaka 5 bila maendeleo waone joto ya jiwe.
Wana CCM tunashinda mnajifungia ndani ni kama mna huzuni? Tunawapoint out wote mliofanya hayo tunawasemea kwa mwenyekiti mnakuwa kama hamwamini kuwa tumeshinda? Why?
Na tunajua kuna ambao ni wenzetu ila mlikuwa mnapiga kura kwa upinzani tunajua.tutaanza kukisafisha chama so soon ninyi si mlijua ya mbele? Sisi tunajua ya nyuma.
Tutaelewana tu hamna shida.