mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Mmeshakuwa brais washed na mapesa yake, ndio maana mnadhani akikaa pale ikulu mtaendelea kuyapata. Amuenimkwa mistakabali wa taifa sio kwa kuangalia mlipewa sh ngapi. Au ndo mnataka figure tu, mbona hata akili yenyewe ishaanza kuisha, mtu ili ale chakula lazima avishwe bibu kaa mtoto mdogo, hayo maamuzi atakuwa anatoa nyie mnamsainia au itakuwa vi, au hujui kuwa hata kushika kikombe cha chai kwake ni issue?Kwani Nchi inaongozwa kwa kunyanyua tofali, Kama ni hivyo basi yumpe Fransis Cheka maana anafanya mazoezi kila siku, au apewe January Makamba maana ndiyo yuko fit kiafya (Kwa kuangalia) kuliko wagombea wote. Ndiyo maana tunasema unapochangia masaburi weka pembeni, nchi inaongozwa kwa Utashi/Akili/kusikiliza na maamuzi magumi. Kwenye WWE ndiyo wanahitaji watu wenye nguvu kama kina Big Shoo