Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

Ninakuhakikishia mkuu Lowassa hafaiiiii kuwa rais wa inchi hii, na akifanikiwa kuwa rais basi itasomeka ameununua urais na wala siyo kachaguliwa na wanainchi

So what!! tuondolea umasaburi wako
 
Nijuavyo Mimi hakuna anayegombea ambaye hapendi pesa .na si lazima wote tuwe na mtazamo Wa aina moja kwa hiyo mie nadhani Lowasa ni chaguo la walio wengi.tofauti na huyo basi upinzani utapeta kiulaini km kumnyatia kiziwi
 
Magazeti yaleo hasa Nipashe imebeba ujumbe wa wana CCM kwa makundi wakiomba Lowassaachukue form ya kugombea urais na wengine kumchangia kabisa sh million mbilikwa ajili ya kuchukua form hiyo.
Hakika wanaCCM hawa wanaweweseka kwani Lowassa hafai kuwa rais kwa sababu kuu 2

  1. Mtu anayejitajirisha kwa kutumiaofisi ya uma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa( a role model), hakuna kitu kinaitwa utajiri wa asili, hata akiuza ngombe zake zote na zawamasai wengine hawezi kununua nyumba London.
  2. Pili umri ule na afya ile niyakumalizia urais , siyo kuanza urais.
WanaCCMtulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisaambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisiyani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa

Tuambie Lowasa aliiba nini vinginevyo kakojoe ulale its too late kwenu kumzuia Lowassa
 
Nijuavyo Mimi hakuna anayegombea ambaye hapendi pesa .na si lazima wote tuwe na mtazamo Wa aina moja kwa hiyo mie nadhani Lowasa ni chaguo la walio wengi.tofauti na huyo basi upinzani utapeta kiulaini km kumnyatia kiziwi

Ukipenda pesa huku una madaraka yaurais huwa ina madhara makubwa mbeleni, muulize Shah wa Iran

Hahahahahahahaha,aliyekutuma kuja kufanya kampeni huku imekula kwake,kwa kifupi lowasa ndo rais ajaye wa tanzania,mtake msitake hayo mnayomnenea ni yenu na hao waliowatuma,lowasa ana ng'ombe wa kutosha alioachiwa na wazazi wake,lowasa amekuwa serikalini na akilipwa mshahara kwa ziadi ya miaka 30,lowasa alishakuwa waziri na kusafiri kila kona ya dunia na kipwa,je ulitaka kusema hana uwezo wa kuwa tajiri?au tajiri unamdefine vipi?kwa mimi ni mtu mwenye uwezo wa kuwasomesha watoto wake na kuwahakikishia lishe mara 3 kwa siku yaani chai ya asubuhi,chakula cha mchana na cha usiku,na kingine ni kuwa na kibanda cha kuishi,muacheni baba yetu lowasa sasa jamani mbona mnahangaika???????????????????????????????????????????????????

Well said Mkuu.... Kwa sasa huwezi kuzuia nguvu ya Lowassa.....
 
Tuambie Lowasa aliiba nini vinginevyo kakojoe ulale its too late kwenu kumzuia Lowassa

Lowassa anazuilika kiraisi sana kama vile Dr Salmin Amoor alivyozuiwa kugombea urais wa Zanzibar kwa mala ya 3 ndivyo hivyo hivyo Lowassa wenu atakavyozuiwa kuwa rais, Commredi Philip Mangula fanya kazi zako za Kimangulamangula
 
Ama kweli lowassa ndo kiboko yao aisee,yan saiv kila kona mitaan ukipita utackia lowasa kiongoz shupav,jasir na mwenye kutoa maamuz magumu na sahihi kwa wakati huska,na mie sasa nakubaliana na wengi kwa maneno yao hayo kuwa lowassa n tumain letu watz tumpen nchi atuongoze,
 
Unaongea pumba tu.. hata sasa tukikuambia ulete ushahidi wa ulivyosema. Huna hata mmoja... kakae uwaze alafu uje na jipya. watanzania ukweli wote twaujua na yeye ndo tumeamua agombee kupitia ccm amakokote tutampa.
 
Rubish ya kufunga Mwezi wa March. Hivi mtu unawezaje kuandika pumba namna hii. Kweli nchi hii imejaa matahira
Najua utakurupuka na povu likutoke mdomoni kwa mitusi, mnataka kutuletea msiba wa kitaifa bire, mtu hata kunyanyua kitofali mpaka asaidiwe wee ndo unamuona anakufaa, kweli ccm mmezoea na mnapenda kuhani misiba. Wewe ambaye huongei rubish kati ya waTZ 45 umeona huyo fisadi ndio anafaa kukuongoza? Shame on you
 
Kwani Nchi inaongozwa kwa kunyanyua tofali, Kama ni hivyo basi yumpe Fransis Cheka maana anafanya mazoezi kila siku, au apewe January Makamba maana ndiyo yuko fit kiafya (Kwa kuangalia) kuliko wagombea wote. Ndiyo maana tunasema unapochangia masaburi weka pembeni, nchi inaongozwa kwa Utashi/Akili/kusikiliza na maamuzi magumi. Kwenye WWE ndiyo wanahitaji watu wenye nguvu kama kina Big Shoo
 
Kwa lowassa kuwa Rais kuna ubaya gani? si haki yake kikatiba akitaka kugombea.Mwacheni mzee wa watu.Kwanza hajatangaza kama wengine.Suala la afya yake,si madaktari wapo, je wamemshauri asigombee? Tuache kumuandama.Ikifika wakati cha chake kikitangaza utaratibu yatajulikana tuu yote. Kuliko kumuandama,wagombea wengine hamuwaoni? kila siku lowassa lowassa ni tishio nini.
 
Wanamuogopa lowassa kinoma.Hoo mara akiingia atalipiza kisasi.Mara sijui nini,Hata hawaeleweki
 
Back
Top Bottom