Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

sasa kama hukuafiki ujio wake imani na chama chako au uongozi wake zinatokana na nini!!!

sikupangii itikadi,nataka ujue unachosimamia.
 
Bila huruma aliwakata wagombea ubunge Jimbo la shinyanga mjini wakiongozwa na Masele mwenye kura karibia 300 halafu akapewa nafasi mtu wa mwisho mwenye kura 7 (Patrobas Katambi).

CCM hoyeee! Lkn asilaumiwe Dk Bashiru bali mwendazake.
Daaaa kumbe Katambi alipata kura 7 tu?
 
Kwani ccm hizo mali walimilikishwa nani mara baada ya nchi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Unapata wapi ujasili wa kuziita mali za watamzania kuwa ni mali za ccm?

Haya ni maswali ambayo hayatabadili chochote kuhusu registered owner wa hizo mali.
 
Wakati wa kumshitaki na kumnyonga magu utakapofika na bashiri atanyongwa pia, tusubiri tu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…