Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,049
- 134,351
Jambo Leo limeripoti kuwa wanachama wa CCM Monduli na Arumeru wameamua kuchoma kadi zao za CCM kutokana kukerwa kwao na kumkata Lowasa kwa maslahi ya wachache
Last edited by a moderator: