Ushauri was bure,wanaojua wamemshauri vibaya kwa maslahi binafsi wajitokeze wenyewe ili kumrahisishia kazi,mwisho watampa pressure bure.Mwenyekiti amepaniki. Sasa hivi kila mtu anamuona ni adui yake. Hajiamini kabisaaa!.
Hebu ngoja kidogo. Inamaana ile tulioambiwa kuwa tuko kati ya nchi zenye uchumi wa kati ilikuwa change la macho?Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23) MIAKA 60 YA UHURU.
CCM imetufikisha hapa
Faraja nayo ni tibaCcm wapenda haki hawapo upande ule Tena ,wameamua Mara hii,Amaniiwe nao.
Tena kwa gepu kubwa sana.na miongoni mwa watakaompigia Ni maelfu ya wana CCM.Amini nakuambia Mwaka huu dunia inaenda kushuhudia mambo.Lissu atashinda
Lord Denninglee van cliff,
Sasaivi wanafanya operesheni ya kushikana uchawi huko. Ni kutishana kumalizana tu na kuongelea usaliti 😂😂😂😂
Eti kuna kumuhujumu mwenyekiti?? Kumbe mwenyekiti anajihujumu mwenyewe kwa mdomo wake mchafu, roho mbaya na tabia zake za kuwaona wengine wote takataka kwa sababu yeye ndio Rais!
Ndio Niko Geita Mkuu,tena Ni Msukuma orijino.lee van cliff,
Mkuu unaishi Tanzania kweli?
Fly over vipi nilimuona yule mzee waliye msafisha kwa dodoki akili zake ameshikilia bango la ndege 'brain washing'Huwezi amini, kwa ninachokiona, kukisikia na kukihisi Juu ya wana CCM hapa nchini kwa kipindi hiki cha kampeni.
Ni kwamba ile confidence amabayo huwa wanakua nayosasa hivi haipo tena, imekata.
Hawa jamaa walikua wakijiamini kila kipindi cha uchaguzi kuwa wanaenda kushinda kwa kishindo, lakini Sasa hivi wamejwa na hofu, mashaka na kitete.
Hata mkuu wao mwenyewe alisikika juzi kaati hapa kuwa watapiga kampeni kitanda kwa kitanda.
Huku chini wafuasi wao konfidensi yao imebaki kwa NEC na ZEC tu, u Jecha. Lakini zaidi ya hapo hawana confidence tena kama ilivyokua zamani.
Kibaya zaidi ni jinsi Lisu anavyopiga biti kiwa Safari hi haibiwi mtu kura, na aina yoyote ya dhuluma itakutana na mrejesho stahiki na mkali sana.
Sababu nyingine ni Jumuiya za kimataifa na Taasisi kubwa kubwa na ndogo kupaza sauti zao ili Uchaguzi uwe huru na wa haki.
Sababu nyingine ni harufu kali ya uasi ndani ya CCM. Safari hii kutatokea Uasi mkubwa mnoambao haujawahi kutokea.
Vijana wanaoipigania Chadema na Upinzani kusaidia kudukua taarifa muhimu kuhusu Uchaguzi.
Kubwa kuliko yooote ni aina ya mgombea mmoja wa upinzani Ndg Lissu kuwa na uwezo wa kujenga hoja, kuelimisha, kushawishi na kuongea. Huyu bwana amewakatisha tamaa kabisa CCM. Vijihoja wanavyovitoa kupambana nae ni vyepesi mno.
Lakini mwisho wa yote Rais anaemaliza muda wake amewaangusha Watanzania sana. Yeye amajiweka kama waziri was ujenzi badala ya Raisi wa nchi.
Aisee CCM wamakata confidence, macho Yao yote kwa NEC na ZEC na Vyombo vya Dola.
Ila sio kila mission hufanikiwa.
Nitakupa maoni yangu baada ya Oktoba 28. Sasa hivi wewe mjanja.Ndio Niko Geita Mkuu,tena Ni Msukuma orijino.
Haya lete maoni yako Sweet B
Juzi nilmisikia Mwenyekiti wa CCM akiwaambia Wanafunzi wa Shule za msingi pale Nyakanazi kuwa wasisahau kumpigia kula ifikapo Septemba28 nikasema CCM wamechanganyikiwa kabisa hahahahaa!!





Daah