Wana CCM hatimaye "confidence" imekata

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,152
33,350
Huwezi amini, kwa ninachokiona, kukisikia na kukihisi Juu ya wana CCM hapa nchini kwa kipindi hiki cha kampeni.

Ni kwamba ile confidence amabayo huwa wanakua nayosasa hivi haipo tena, imekata.

Hawa jamaa walikua wakijiamini kila kipindi cha uchaguzi kuwa wanaenda kushinda kwa kishindo, lakini Sasa hivi wamejwa na hofu, mashaka na kitete.

Hata mkuu wao mwenyewe alisikika juzi kaati hapa kuwa watapiga kampeni kitanda kwa kitanda.

Huku chini wafuasi wao konfidensi yao imebaki kwa NEC na ZEC tu, u Jecha. Lakini zaidi ya hapo hawana confidence tena kama ilivyokua zamani.

Kibaya zaidi ni jinsi Lisu anavyopiga biti kiwa Safari hi haibiwi mtu kura, na aina yoyote ya dhuluma itakutana na mrejesho stahiki na mkali sana.

Sababu nyingine ni Jumuiya za kimataifa na Taasisi kubwa kubwa na ndogo kupaza sauti zao ili Uchaguzi uwe huru na wa haki.
Sababu nyingine ni harufu kali ya uasi ndani ya CCM. Safari hii kutatokea Uasi mkubwa mnoambao haujawahi kutokea.

Vijana wanaoipigania Chadema na Upinzani kusaidia kudukua taarifa muhimu kuhusu Uchaguzi.

Kubwa kuliko yooote ni aina ya mgombea mmoja wa upinzani Ndg Lissu kuwa na uwezo wa kujenga hoja, kuelimisha, kushawishi na kuongea. Huyu bwana amewakatisha tamaa kabisa CCM. Vijihoja wanavyovitoa kupambana nae ni vyepesi mno.

Lakini mwisho wa yote Rais anaemaliza muda wake amewaangusha Watanzania sana. Yeye amajiweka kama waziri was ujenzi badala ya Raisi wa nchi.

Aisee CCM wamakata confidence, macho Yao yote kwa NEC na ZEC na Vyombo vya Dola.

Ila sio kila mission hufanikiwa.
 
'Confidence' gani nyingine unataka tuwe nayo kama tayari tumeshajua ushindi wa kishindo mwaka huu ni lazima na tumehakikishiwa hilo na mwenyekiti na katibu mkuu wa CCM?
 
lee van cliff,
Sasaivi wanafanya operesheni ya kushikana uchawi huko. Ni kutishana kumalizana tu na kuongelea usaliti 😂😂😂😂

Eti kuna kumuhujumu mwenyekiti?? Kumbe mwenyekiti anajihujumu mwenyewe kwa mdomo wake mchafu, roho mbaya na tabia zake za kuwaona wengine wote takataka kwa sababu yeye ndio Rais!
 
Mnajifariji tuu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo.

Acheni ndoto za alinacha
 
Tunafahamu kwingine kwingi haki haipo, ila hapo kwa nec na zec wasijaribu kupachezea.
 
Juzi nilisikia Mwenyekiti wa CCM akiwaambia Wanafunzi wa Shule za msingi pale Nyakanazi kuwa wasisahau kumpigia kula ifikapo Septemba28 nikasema CCM wamechanganyikiwa kabisa hahahahaa!!

hahahahaha
 
Back
Top Bottom