Actually Upareni na Usambaani wanatakiwa wahakikishe Magamba wanang'oka ... ARUSHA, TANGA, K'NJARO ... CCM haitakiwi ... TABORA, SINGIDA, DODOMA tayari wameing'oa CCM.... MBEYA, SONGEA, RUKWA, KATAVI wamemaliza kazi ya kuiondoa CCM... SHINYANGA, MWANZA, GEITA, KAGERA, MARA, SIMIYU walimaliza kazi long time ... DAR MPAKA MORO CCM OUT ... ZNZ, LINDI, MTWARA...CCM wanasikika TBC na STAR TV ...