Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA


Peperusha Bendera, Viva Roma Viva!
 
CCM imebaki Same tu Kaskazini. The least developed district in the north
 
Yaaaaaaani huku umasaini hawataki kujua magufuli ni nani woooooote ni lowasaa
 
Natumaini ccm itakuwa chama cha upinzani chenye wabunge 7
 
Vyema sana!
 

Wabaguzi wa kasikazini tutawazibiti
 
kauli za wanaccm kuzungumza kwamba chadema ni chama cha kikabila au cha ukanda wakati wana chadema hawajawai kuzungumza mambo hayo hadharani ni kuzidi kukipaisha chadema maana kama alivyosema nyerere kwa kuwabagua chadema wanabaki salama lakini ccm inazidi kusambaratika maana wanaobaguliwa wote watakuwa wamoja na wale wnaowabagua wenzao lazima kuna baadhi wataona kwamba ubaguzi haufai watajiunga na wabaguliwa ndio kinachofanyaika sasa
 
Wenzetu jana walituambia siku zinavyoenda 69.% itaongezeka. Naamini itaongezeka hadi 49.3%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…