Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Upo single bibie?
Sistooo unamfahamu huyu??
Unatamani kupigwa...
Hata sjawahi msikia mie
So hii tuifanye ya saba sio?Nimeolewa, hii ni ndoa yangu ya 6....vipi kwani?
Swadaktaaa....nilijua umetuletea mgeni kwa familia yetu
So hii tuifanye ya saba sio?
Swadaktaaa....nilijua umetuletea mgeni kwa familia yetu
Huyu nahisi anataka kung'olewa meno na kucha bila ganzi na kutobolewa macho.Majanga, majanga, kweli majangaa
Bwana shemeji haya mambo gani tena?
Huyu nahisi anataka kung'olewa meno na kucha bila ganzi na kutobolewa macho.
Sasa weww ni nani mbona hueleweki ?Huyu nahisi anataka kung'olewa meno na kucha bila ganzi na kutobolewa macho.
Najua wikii hii ni ya maCIA si unajua tena Obama alikuwa hapa so bado wanatafuta magaidi wasijeudhuru ubalozi wa marekani? ila mie CIA hawanikamati ng'ooo
Una dada mzuri kaka nikabithi
Ndio mie MBN, mwingine fotocopy....mafuta yangu ni samli, nywele zangu kipilipili kama unavyokiona hapo, kitu nature
Upo single bibie?
Mbona unavaibreti maungo hivyo!...hebu andika maneno vizuri
hayaaa pokea mgeni kwanza hapo kwa uzuri
Subiri kidogo niufute vumbi huu msaafu wangu wenye vitenzi vikurupushi halafu nimuibukie huyo kifanyio washa...