Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
- Thread starter
-
- #61
Yule mtu alianza kama wewe akajikuta anapapenda hataki kuondoka, walishataka kumrudisha wizarani akakataa, lindi rahaaaaa
Hahahah yule ndio JD LK4 bwana, mjini mipangokweli pale wapo wawili wakongwe ofisi nzima wao ndo wanastori zote na wote hawataki kuondoka huku kuzuri kutafutia vyeo na kuwekeza wenzangu walinishangaa kukubali kuamia huku ila mi niliona mbali dar mizinguo na vimishahara vyetu hivi
Hahahah yule ndio JD LK4 bwana, mjini mipango
hawazeeki kwa kweli...
mjini si mchezo mi nataka mambo ya kutafuta hela ya kula na usafiri basi mi nataka zaidi ya hapo..
nipo mjini hapa hapa ukifika mitaa ya bwalo la polisi umenikuta ni jairani na home
Sijajua ila naweza pita kipande hiko kuunga tela as ni swala la maisha (ila sio lazima hapo ni kwa jirani njomba nchumali)
Sijajua ila naweza pita kipande hiko kuunga tela as ni swala la maisha (ila sio lazima hapo ni kwa jirani njomba nchumali)
Unamaanisha mtwara? ukija unijulishe..
dadadek
Unamaanisha mtwara? ukija unijulishe..
dadadek
Wala sikujulishi, au nikikujulisha kamwe hutajua kama mimi ndio MBN........upo poromota?
teh teh..unaniogopa eeeh
Mzee wa Chuno...
Nkuogopee nini kaka kiwa? heh =unatembelea kichwa badala ya miguu?hiyo ni style tu ya maisha
hee! wewe si ndiyo Mrembo? au nimeekufananisha?
Upo single bibie?Ndio mie MBN, mwingine fotocopy....mafuta yangu ni samli, nywele zangu kipilipili kama unavyokiona hapo, kitu nature
Unatamani kupigwa...Upo single bibie?
Upo single bibie?
Upo single bibie?