Nilitamani sana maisha yale waliyokuwa wakiishi wale wadada (by then) niyakute ili niyafaidi kipindi cha udada wangu.... mie nilikuwa mtoto Mtanda wewe. Ila tulishahama ni history tu
uzee upo determined na watu wanaokuzunguka kama una hang na watoto wa miaka kumi na 3 nawe upo above 18 utaonekana tu ni mzee kwao samenkwa age zote. ila mtu ukiwa above 28 kwa mwanamke ujue taa inawaka
Inabidi ukipata wasaa urudi huko kama flshback fulani...
Mie nimekuwa na kawaida ya kupitia ile mikoa yote niliyokulia...
Bahati mbaya unakutana na watu wapya...
So unakubaliana na mimi kwamba uzee au utoto ni relative term? Dunia ya leo pia age ni namba tu....join people kwenye 1st world uone watu wanavyoishi....uzee ni kaburini ati hahaha. Vyovyote vile, ngoja nikuridhishe, mimi ni kibibi kabisa, naaproach 50 sasa hivi.
Kumbe umeona, nilishafika Lindi after kumaliza mishe za shule lakini watu wazazi walishahamishwa, wengine wametawanyika kila mtu kutafuta maisha, waliopo hata story hazifanani tena.
nabisha kama yule mtu bado 60 hajafika wewe huwezi kuwa 50
age ni namba tu
hii kitu mbaya sana mtu unajiona mtumwa hvi hiv
Of koz kumbukumbu za utotoni ni nzuri kwa kila mtu...
Kama nakuona vile enzi zako waenda ile shule ya msingi nadhani ipo huku karibu na hospitali ya mkoa...
Weweeee ntakuchapa.
Sasa kama waliobaki ni wadogo wa rafiki zangu tutaelewana kweli story? au kama hata aliyeishia primary hakuendelea na shule and so ameolewa unadhani tutaongea story zinazofanana kweli?
ndo ujifunze kujichanganya usijepatwa na mambo ya remy wa kwenye the black hermit
mara ya kwanza nilikuwa napata shida sana kuwaelewa watu wa huku wanavyoongea
Kila mtu anashangaa kwa mara ya kwanza ila ndio hivyo, ukizoea unawaelewa
nafanikiwa katika ili hope baada ya mwaka ntakuwa ka wamakonde au wamwera
Nitakutafuta..... Lindi sehemu gani?mimi kapalampya nimeahamishia makazi yangu rasmi katika mji wa lindi
kuanzia leo hii
kama kuna wana cc wanaoishi lindi naomba tutafutane kwa ajili ya utambulisho na mapokezi..
nawasilisha
cc kwa watendaji wa idara ya mipango na uratibu wa chit chat
Nitakutafuta..... Lindi sehemu gani?
Hope utacope na mwisho wa siku hutatamani kuondoka
Nenda hapo paris club mpe hi meneja side wa mtanda ,huo mji na Mtwara unafaa kwenda siku mbili unajirusha then u naondoka, tembelea wailes,Jamhur,mpilipili na ntulen ndo wanaish watanzania halis
kwenye red kuna possibility huku hakuna stress fursa kibao
vitu nilivyoshindwa kufanya da naaamini huku nitafanya