Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
- Thread starter
-
- #181
Unamaanisha mtwara? ukija unijulishe..
dadadek
Mimi nakuja lindi next week.. Utanipokea eeh!
Jaman mie huyu mamluki alojisajili leo leo mie nimtoe na kumbebea wapi.....kwanza familia ipi niiletee mamluki?kaka yangu unanijua vizuri sana dada yako
bora....
Mbona ze thoo kold mgeni atajuta kuifahamu hii familia??
ka wawili hivi
Upo single bibie?
Hiyo njema sana, hope mtaendeleza umoja wenu
Hiyo njema sana, hope mtaendeleza umoja wenu
Sistooo hebu kuja uipitie hii chatting tena...you will surely be surprised....!!!
hilo ndio kubwa
huku net adimu siunajua jiografia ya huku ukitoka kidogo tu nje ya mji net hakuna..
Hahahahaha panda juu ya muarobaini upate network
aah aah watu wa huku hwakawii kusema katengenezwa
kama yule RC aliyeamkaa beach yupo uchi..
Nini tena my broo? ngoja ntaipitia later hapa nimeingia tu kusalimu then ntawanyike nkatafute mkate