Wana CC Dar leo wapi tutokelezee wikiend ndo ishaanza....

Wana CC Dar leo wapi tutokelezee wikiend ndo ishaanza....

Njoo hapa Yami Yami mida ya saa 10:30 utanikuta na mimisa
Jamani wengine wikiendi twazipata kwa msimu, Hivyo tukizipata twazitumia ki sawasawa, tujulishane wana cc / JF Dar wapi leo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe ni M.D.O au W.D.O?.
(Monthly drinker officer, weekly drinker officer). mia
 
Njoo uwanja wa Taifa kuna mechi inachezwa...kati ya Simba SC na Li... FC
 
Back
Top Bottom