Wamtoa Raisi Madarakani Kwa Mawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamtoa Raisi Madarakani Kwa Mawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jan 17, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mabomu ya machozi, risasi za moto na hata vifaru barabarani. Vyote havikusaidia kuurudisha umma nyuma. Tunisia na Watunisia wameandika tena historia Afrika kwa kumfukuza Rais wao madarakani kwa mawe. Je Tanzania hii tunaweza?

  Tunisia.jpg Tunisia 2.jpg
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  kwa kweli mnaweza na kwa hii strategy ya kuanza kugawa watu kwa makundi na dini, lazima mfanikiwe kwani mtakuwa na uungwaji mkono mkubwa wa watu peoples power.
   
 3. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Dahh, so down! Udini wa bongo unaninyima usingizi hakya-Mungu! Sina raha, naona tunatumika kama wakoloni walivyokuwa wakifanya..'Divide and Rule'..! Suala lolote litakaloanzishwa na kundi fulani hata kama lina msingi kiasi gani kuna hatari ya kutoungwa mkono na upande mwingine kwa sababu za udini..! Najisikia vibaya sana..!
   
Loading...