wamkumbuka bulicheka wewe?

wamkumbuka bulicheka wewe?

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1003957_676116659072161_1317040459_n.jpg
 
dah mzee ii kitu ilikua mujarabu sana, yani umenikumbusha mbali sana. izi picha dah zimenirudisha enzi izo nikiwa dogo nataman kurudi mda huo.
ndo basi tena ivi vitabu sdhan km vinapatkana leo hii
 
duh kitambo saana! bulicheka mwenyewe akajenga nyumba kwenye minazi minne duh!
 
Sasa hivi watoto wanakremishwa vitabu au vijarida vya Nyambari Nyangwine
 
Zamani kusoma ilikuw ani raha tupu. Nakumbuka kulikuwa na vipindi vya redio kwa ajili ya shule. Siku ya kipindi cha redio ilikuwa inangojewa kwa hamu. Nilikuwa napenda sana kile kipindi cha Kiingereza kilichoitwa 'A thousand mMiles to Tanga' .
 
Wagaga gigi koko. Dah long time sana. Those were good dayz when we read for funy while being educated. Sio hawa wadogo zetu kazi kuangalia mikanda ya ngon.o. Sidhani kama vinapatikana hivi vitabu siku hizi.
 
Kwa sasa sahau imebaki ni ndoto tu, bulicheka,Rai, Mashimo ya mfalme Suleiman, Abunuwas nk. hawa wote wamezikwa na wizara ya elimu
Wagaga gigi koko. Dah long time sana. Those were good dayz when we read for funy while being educated. Sio hawa wadogo zetu kazi kuangalia mikanda ya ngon.o. Sidhani kama vinapatikana hivi vitabu siku hizi.
 
Nakumbuka stori moja humo bulicheka alichonga mti kama shingo ya mbuni vile akavaa na majani kwa nyuma iliafanane na mbuni wale mbuni wakawa wanaulizana eti hee huyu mwenzetu vipi anawalakini? Lakini aliuwa mboni moja.
 
Namkumbuka Mfalme Huhihuihui wa Wagagagigikoko! Sijui Englibertm uliwaza nini mpaka kutukumbushia mambo haya!
 
Zamani we were so genuine not these days where everything is fake. Tumegeuka wachina kutengeneza fake products mpaka kwenye elimu.
 
Back
Top Bottom