wamjua Bruce lee wewe?

nakumbuka utotoni nilikuwa nampenda sana, naangalia picha zake na kijaribu kumuiga.
 
Alisababisha nijifunze kupigana but kwa manufaa yangu,namkumbuka sana daa rip
 
WA NIKUMBUSHA MBALI SANA ENZI HIZO ALIKUA MAARUFU KWA PICHA ZA MAPIGO r.i.p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…