bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 1,188
- 2,878
Bruce Lee ndiye alimwingiza Chuck Norris kwenye ramani ya filamu, Filamu yake ya kwanza The Way of the Dragon. Bruce Lee alimuita Chuck acheze kama adui yake mkuu.
Pambano lao kule Rome ndio linatajwa kuwa pambano bora zaidi la karate katika historia ya muvi.
Baada ya hapo, Chuck akawa staa. Akatengeneza muvi kama Missing in Action, The Delta Force, na ile series maarufu ya Walker, Texas Ranger.