Wamiliki wa mabasi wapewe somo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiliki wa mabasi wapewe somo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jack chance, Jul 9, 2009.

 1. j

  jack chance Member

  #1
  Jul 9, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAMILIKI WA MABASI WAPEWE SOMO.

  Miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko la kuzagaa taka sehemu nyingi za nchi yetu, baadhi yake ikiwa ni zile za plastic ambazo haziozi, nimeshuhudia taka hizi zikizagaa sehemu mbalimbali wakati nikisafiri toka Dar mbeya, NI VEMA sasa mamlaka husika zikatoa mwongozo wa vyombo vya usafiri wa abiria kuwa na makapu ya taka ndani ya mabasi ili kupunguza tatizo hili la uharibifu wa mazingira na atakeye kiuka achukuliwe hatua. wadau mnasemaje?
   
Loading...