Wengine mikopo jamani yanajilipa yenyewe miaka 2 anapata faidaYani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta shekilango huwa najiuliza nakosa jibu,Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu waliganya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
Hakuna kitu kama hichoKuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
una miliki nini, siyo tu unaambia watu waje pmWana nguvu. Ukitaka kujua ni nguvu ya nini njoo PM. Na hiyo ndio nguvu iliyo mjia Meneja wa Makanmpuni ghafura.
Kuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Mfano GSM ana malori 1000Nipo hizo connection za wizi,na ufisadi basi,yani haiwezekani MTU amiliki mabasi karibu 30 ya million 400 Mimi sina hata kibanda.
Hivi Tanzanite nayo ina marudio?Kuna mtu namfahamu Ana Shimo pale mererani, shimo lake lina uwezo wa kutema vyombo kila mwezi,makinikia ndio usiseme.
Huyu akisema anakopa Anauwezo wa kukopa kununua hayo mabus yote uloyataja na chenchi ikabaki.
Kuna watu wana miliki Assets ambazo ndio maisha yao, Nyingi zisizoonekana.
Mabus na Malori ni vinyongeza tu...
Pambana,Pambana anza na kujenga uaminifu kwa waliokuzunguka.Unatoa ushauri gani kwetu sisi ambao hatuna vigezo vya kukopesheka hata laki moja?
Plot za KKOO huwezi kopeshwa 3bil unless iwe na thamani ya 6bilHiyo plot Kkoo kaipataje?
huyu BM ndo anaitoa kimasomaso morogoro, anajenga ghorofa refu kuliko yote moro pale masikaJana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi.
Hayo mabasi unayoyaona ni chamtoto hawa jamaa Wana mahoteli ya hatari,Petro station za kutosha,ukija kwenye kilimo na ufugaji ukiona utalia brother!! Yan ng'ombe wao wanatoa maziwa kama Wana kisima tumboni!! Wana magest daaaa acha tuuImagine, kuna haya mabasi
ESTER LUXURY
TILISHO
HAPPY NATION
SAULI
NEW FORCE
ARUSHA EXPRESS
SHABIBY
ABOOD
MACHAME EXPRESS
KAPRICON
KILIMANJARO EXPRESS
DAR EXPRESS
ZUBE
SARATOGA
MGAMBA
KIMBINYIKO
ABC
ALLY'S
SAIBABA
etc etc
Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60!
Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500.
Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Viwanja vya Dsm ndo vina thamani hata viwe KM 50 toka PostaUkiwaza ghorofa bado umeenda mbali, sasa hivi mnaambiwa nunueni viwanja huko chanika mnaona n maporini.
Utajiri upo katika ARDHI miliki ARDHI kadri uwezavyo siku 1 itakuheshimisha.
Msidharau viwanja vinavyouzwa kama hela unayo sasa hivi, tupia Ardhini. it will pay you back siku 1.
utakua ktk historia za matajiri hii nchi,Ardhi haijawahi ni dissapoint.
Magari ya biashara yote kwa mwaka huingiza zaidi ya milioni 300 pesa ghafiUkiongea nao wanakwambia biashara ya mabasi kichaa but kila mwaka wanaongeza bus 20, 10 nk. Na eti wastani wa basi moja kurudisha gharama ni ni kati ya miaka miwili kwa yutong.
Ndugu yangu Kwa sisi wachovu " Mali utaipata shamba " haki nakuapia !!!Kuna SoMo nalipata vizuri sanaKwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Abood mwaka huu tu mwanzoni alishusha basi 20 pale urafiki.Mfano GSM ana malori 1000
Wolrd Oil ana Tanker zaidi ya 300
Alistair ana lori zaidi ya 100
Lake Oil ana Mende zaidi ya 100, Tanker zaidi ya 200, Cement Truck zaidi ya 300 kwenye SGR
MO ana magari zaidi ya 1000
Azam ana magari zaidi ya 500
Shabiby ana Mabasi 50+
Maana wenye mabasi mengi Tz ni NewForce, Abood, Shabiby, Golden DeerAbood mwaka huu tu mwanzoni alishusha basi 20 pale urafiki.
Ndio maana ile stendi ya mbezi wanaweza kujaza matajiri pengine hata kumi wasifike.