Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Nipo hizo connection za wizi na ufisadi basi, yaani haiwezekani MTU amiliki mabasi karibu 30 ya million 400 mimi sina hata kibanda.Kuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Kama yule Mbunge wa Makambako nasikia ana Malori kama 300 hiviImagine, kuna haya mabasi
ESTER LUXURY
TILISHO
HAPPY NATION
SAULI
NEW FORCE
ARUSHA EXPRESS
SHABIBY
ABOOD
MACHAME EXPRESS
KAPRICON
KILIMANJARO EXPRESS
DAR EXPRESS
ZUBE
SARATOGA
MGAMBA
KIMBINYIKO
ABC
ALLY'S
SAIBABA
etc etc
Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60!
Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500.
Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Ipo njia rahisi ya kimasihara kama upo tayari.Kwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Mkuu unacho sema ni sahihi kabisa,Matajiri wengi ni Mikopo na bila hiyo huwezi kuendelea financially but tunaanzaje sasa kupata hata ghorofa 1 pale Kariakoo.Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.
Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa.
Matajiri hao, sifa yao kuu ni 1 "wanakopesheka" Muogope mtu anaeweza kukopa 1B na akapewa muogope sana huyo mtu.
Mpaka upewe kuna vigezo vingi taasisi za ukopeshaji huziangalia ikiwemo mali zisizo hamishika.
Wewe unayaona mabus na malori lakini Hizo taasisi wanajua mali za thamani zaidi ya hayo ma bus na malori.
Ungezijua hizo mali wanazomiliki mpaka wakawa na sifa ya kukopesheka hivyo ndio Ungeandika Thread GAZETI na ???????? ungeanza nazo mpka unamaliza nazo.
Hiyo plot Kkoo kaipataje?Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.
Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa.
Matajiri hao, sifa yao kuu ni 1 "wanakopesheka" Muogope mtu anaeweza kukopa 1B na akapewa muogope sana huyo mtu.
Mpaka upewe kuna vigezo vingi taasisi za ukopeshaji huziangalia ikiwemo mali zisizo hamishika.
Wewe unayaona mabus na malori lakini Hizo taasisi wanajua mali za thamani zaidi ya hayo ma bus na malori.
Ungezijua hizo mali wanazomiliki mpaka wakawa na sifa ya kukopesheka hivyo ndio Ungeandika Thread GAZETI na ???????? ungeanza nazo mpka unamaliza nazo.
Mawazo ya binadamu fukaraKuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Unatoa ushauri gani kwetu sisi ambao hatuna vigezo vya kukopesheka hata laki moja?Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.
Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa...
Huo ndio ukweli maana kumiliki tu plot kariakoo sio.Hiyo plot Kkoo kaipataje?
Dalili ya utapeli hiiWana nguvu. Ukitaka kujua ni nguvu ya nini njoo PM. Na hiyo ndio nguvu iliyo mjia Meneja wa Makanmpuni ghafura.
Sio Hilo tuu pia ni wakulima hodari Sana Wana matrector,combined harvester,nk Wana magodown ya Michele na haharagwe ya njano acha tuu aiseeKabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.
Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa...
Ukiwaza ghorofa bado umeenda mbali, sasa hivi mnaambiwa nunueni viwanja huko chanika mnaona n maporini.Mkuu unacho sema ni sahihi kabisa,Matajiri wengi ni Mikopo na bila hiyo huwezi kuendelea financially but tunaanzaje sasa kupata hata ghorofa 1 pale Kariakoo.
TayariWana nguvu. Ukitaka kujua ni nguvu ya nini njoo PM. Na hiyo ndio nguvu iliyo mjia Meneja wa Makanmpuni ghafura.