Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Dah, nipongeze utaratibu wa baadhi ya kampuni zinazotoa huduma za kadi
Zaidi wewe uliyelipia hela ndefu kupata kadi hiyo.
Ukweli nimewaza sana, hivi hawa wamiliki wanakufaga kweli? Ama ndugu zao wanakufaga?
Mbona gharama kubwa sana aisee, kama vile hawaoni pepo.
Embu kaeni chini mjadiliane mnamsaidiaje Mtanzania, ama ndiyo mmeamua ku make money kwanza, Mtanzania aendelee.
No money, no service. Dah.
Mungu tusaidie.